Erythrocyte,
Sijui ni akili gani ambayo sina ! Ila nikweli sina akili kama ya nyumbu mkuu!!!
Wewe mwenye akili nijibu haya maswali kwa kumsaidia Mbowe.
1.Wabunge zaidi ya 30 wa chadema wanakatwa seating allowance ya tsh. 260000 kila mbunge kwa siku.
2.Wanakatwa tsh. 4.7ml. Kila mwezi.
3.Rudhuku ya chama 270ml. Kila mwezi
4.Fedha za wahisani usd 980000 kila baada ya miezi mitatu
5.Michango ya makamanda na ununuzi wa magwanda, tshirts nk.
5.Michango ya posho za madiwani kwa madiwani waliopo nchi nzima.
Muda huo ujue chama hakina office zake nchi nzima! Hata zilizokodiwa zimekodiwa kwa bei kubwa ili kupata cha juu.
Chama hakiwalipi mishahara viongozi wa mikoa, wilaya, na hata viongozi wa jumuia mda huo mwenyekiti anakodi ukumbi wa siku moja kwa usd 28900 kwa siku moja na kukodi ndege kwa 56ml. tsh kwenda Mwanza.
Kwahayo Machache tupeni majibu wenye akili! Sio mbwembwe za tume huru au Sabaya na mabango ya matangazo kemkem ! Tupeni hoja za msingi kuhusu uchaguzi wa baadhi ya kanda kukwama ! Taarifa zilizopo mkanushe au mje na maelezo.