Masanjaone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 844
- 598
Asisahau kuzungumzia michango wanayochangishwa wabunge, seating allowance zinazokatwa kwa wabunge, makato ya mishahara, rudhuku ya serikari,pamoja na kutoa ufafanuzi wa chama kutokuwa na office zachama pamoja na mishahara ya viongozi wasio wanachama.F.H. Mbowe ataongea vitu vya msingi tupu.
Acha kina Bashiru waendelee kucheza kombolela
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakkni pia atoe ufafanuzi mgogoro wa mwanamke anae mpendekeza kuwa mwenyekiti wa kanda ya mwanza ambae wanachama hawamtaki je! Ana masrahi gani nae?.
Kama atabaki na kumzungumzia sabaya na tume huru mumwambie mapema nisawa ila aanze na mambo hayo kwanza vinginevyo hatutamuelewa .