Kishindo cha FRN ya Joseph Kabila

Felix Tshisekedi hana maarifa.Unawezaje kumhukumu Rais mstaafu kifo wakati unajua anawatu ndani ya dola wanampenda na kumwamini,anajua siri nyingi.Kama angekuwa na akili alipaswa kutumia njia za diplomasia kuliko nguvu.Congo inaweza kuingia kwenye vita kali sana
 
Sifa za kijinga..kwanini usiandike kingeleza rahisi?
 
Huwa najiuliza hivi vifaa vya waasi huwa vinapita bandari/ Barabara gani hadi kuingia huko Kongo?...
Kwani kuna Sheria inakataza bandari kupitisha zana za kivita? Kwani adui yako ni adui yangu? Wapinzani wao ndo wanawaita Waasi. Lakini hao hao waasi kuna wanao waunga mkono. Mara nyingi uminywaji wa demokrasia ndo huuzaa vikundi vya Waasi..

Silaha zipo nyingi sana.. Hata wewe ukiwa na kikundi chako uunapata vifaru vya mkopo.
 
Kabila bado anautaka urais wa Congo kwa nguvu zote hata ikilazimu kumwaga damu za watu.
 
Hii English ngumu.
 
Utaona wakitaka uone vinginevyo you can't see shit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…