Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Gazeti la kila siku la Tanzania Daima limeripoti leo ya kuwa Chuo cha Monduli kimefungwa kutokana na kampeni ya Dr. Slaa ambayo imeonyesha kwa uwazi ya kuwa wanafunzi hapo chuoni watakipigia kura Chadema na Dr. Slaa.
Hizi ni njama nyingine za CCM, JK na Lowassa za kuchakachua matokeo ya kura kwa kuwazuia wapigakura wasiweze kutumia haki yao ya kidemokrasia ya kupiga kura................maana wengi wao walijiandikisha kupiga kura hapo Monduli sasa wanalazimika kwenda makwao ambako hawataweza kupiga kura kwa sababu hawajajiandikisha huko......