Kishindo cha CHADEMA kuzidi kuiangamiza CCM

Mawazo na makamda wengine kwa sasa wanaelekea Kahama mkoani shinyanga kwenda kuungana na makamda walioko huko wakiendeleza maumivu kwa chama cha majambazi (CCM).
maombi yanazidi kujibu

Unanikumbusha ile nyimbo ya Tshimanga Asosa, "Mambo Bado" yaani ni raha kwanda mbele. Sasa nape aje na kauli nyingine ili wazidi kumkimbia.
 
Breaking News,
Jinamizi la Viongozi wa Chama cha Mapinduzi kuhamia CHADEMA sasa limehamia Mwanza.
Diwani wa Kata ya Nyampulukano, Jimbo la Sengerema Mjini amehamia Chadema leo hii, Arusha Mambo itakatisha kwa muda matangazo yake kutoka Dodoma na kuwaletea mahojiano ya moja kwa moja na Diwani huyo kutoka Mwanza.
Habari njema hii
 
ndugu watz sote tufanye kazi ya ziada kwa kila mahali mtz alipo tuhubiri habari ya ubaya wa ccm na maovu ya viongozi wake, tukianzia kwa viongozi wa ngazi za juu hadi mashinani, kila upatapo nafac plse ucchezee eleze ubaya wa huu mfumo kuanzia nyanja ya elimu,siasa na uchumi kwa ujumla. Hasa swala zima la viongozi wezi katika halmashauri zetu nenda pale monduli, longido na Ngorongoro tenda zote zina shikiliwa na wahuni na wezi wa mali za umma, hakuna cha maana kwa lengo zima la maendeleo, ndugu vijana naombeni tuwa katae hao wabunge na madiwani wezi kwa gharama zote,
mimi cku hizi natenga muda wa kupita kwenye vijiwe hapa mjini A town kutoa elimu ya uraia bure na pia nawa pigia cmu ndugu zangu na jamaa kueleza ubaya wa serikali na mfumo kiuwizi unao tugharimu kila cku vitu vinapanda bei, na wakala wa upandishaji bei ni viongozi na mafisadi wa ccm.
Wakubwa SASA tumefikia waliko fikia wafaransa 1789, the only solution is to remove ccm with it govt.
Wkubwa nawasilisha.
 
OKW, BOBAN, SUNZU, Hiyo signature yako vipi, unamaanisha huyo mkuu wa mkoa wa Tabora alitamka hayo maneno? Nauliza tu

Kwa nini Arusha tu jamani, kwanini sisi Singida mnatutenga sana, na sisi tumeumizwa sana na mashetani wa kijani, we need M4C
 
Back
Top Bottom