Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
Wale wote tuliosoma O- Level pale Shule ya Sekondari Kishimba wilayani Kahama, MKOA WA Shinyanga.
Wale WA asubuhi (Morning Classes) na wale tuliokuwa jioni (Evening classes). Wote tulikuwa kitu kimoja na ili kuwa ngumu kutofautisha mwanafunzi WA asubuhi na WA jioni. Tulianza pamoja mwaka 1999 na tuka maliza wote kidato cha NNE mwaka 2002.
Bandugu tuanze kutaftana jamanii tuyajenge.
Ndimi Deogratius Kisandu, yule yuleeeee