Kishimba ni mmoja wa matajiri wakubwa Botswana

Kishimba ni mmoja wa matajiri wakubwa Botswana

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,674
Reaction score
3,741
Nimepata habari kuwa tajiri mkubwa Mwanza nzima ambaye kwa sasa amehamishia makazi nchini Botswana kwamba ni mmoja wa matajiri wakubwa nchini humo nyie hamjasikia?
 
Duh Mwanza nao wameanza kutaja mabilionea wao!

Kishimba ahamie botswana for what?
 
Wanatangazia redio/TV gani ili tu tune? Au ni gari la matangazo linapita mitaani huko Mwanza?
 
ni kweli ndie anaeongoza kulipa mapato Botswana.!!
 
Nimepata habari kuwa tajiri mkubwa Mwanza nzima ambaye kwa sasa amehamishia makazi nchini Botswana kwamba ni mmoja wa matajiri wakubwa nchini humo nyie hamjasikia?

Ni kweli kuwa Jumanne Kishimba alishahamishia biashara zake Botswana nae anaishi huko, aliihama nchi yake ya kuzaliwa kwa mizengwe mikubwa aliyoandamwa ktk biashara zake wakati wa serikali ya awamu ya tatu.
Napata tu hofu juu ya source yako ipelekeayo kuwa Kishimba ni miongoni mwa matajiri wakubwa Botswana.
 
Duh Mwanza nao wameanza kutaja mabilionea wao!

Kishimba ahamie botswana for what?
walimpiga majungu sana J4,kumbe alihamishia botswana,mwanzo alikua zimbabwe,

dah ,namkumbuka akija pale kwa binti abdala(mamake)kumsalimia usiku ,jamaa haachanagi na castle ya kopo ndani ya gari.
 
simple minded discuss people, great minded discuss ideas n narrow minded discuss events
 
Duh Mwanza nao wameanza kutaja mabilionea wao!

Kishimba ahamie botswana for what?



Mkuu mbona unakuwa kama huijui Serikali ya ccm. Inawezekana ukawa ni mlipaji kodi mzuri tu, ila siku wakakuomba ela ili waweze kulipana posho kwenye vikao vyao, basiii linakuwa kosa kubwa sana na UTAKOMA, watakuletea hawa mbwa wao wanaoitwa TRA.

TRA watadili na wewe mpaka waakikishe umefilisika au umeenda kupiga magoti na kulilia na pia ile ela waliyokuomba umetoa, ndo TRA wanakuacha...

Mkuu hii nchi inaongozwa na wagonjwa wa akili wenye ukichaa. Kuwa kichaa sio lazima uokote makopo, lakini ukitoka nje ya mstari, nje ya utaratibu basi ndo ukichaa wenyewe...
 
Alipataga kashfa ya meli yake ilipozama na kuaa wakasema mmiliki ashitakiwe kwa mauaji....oohh hapo ndipo alipopotea hadi leo hii!
 
Pia nasikia ndiye SLAA wa CHADEMA ya Botswana na ameshatangaza kugombea urais wa botswana!!!!!

Nasikia ccm ya Botswana inampango wa kumpeleka mambwepande ya Botswana
 
Mkuu mbona unakuwa kama huijui Serikali ya ccm. Inawezekana ukawa ni mlipaji kodi mzuri tu, ila siku wakakuomba ela ili waweze kulipana posho kwenye vikao vyao, basiii linakuwa kosa kubwa sana na UTAKOMA, watakuletea hawa mbwa wao wanaoitwa TRA.

TRA watadili na wewe mpaka waakikishe umefilisika au umeenda kupiga magoti na kulilia na pia ile ela waliyokuomba umetoa, ndo TRA wanakuacha...

Mkuu hii nchi inaongozwa na wagonjwa wa akili wenye ukichaa. Kuwa kichaa sio lazima uokote makopo, lakini ukitoka nje ya mstari, nje ya utaratibu basi ndo ukichaa wenyewe...
Acha kudanganya watu hapa JF.

Hao matajiri wanakuwa hawalipi kodi miaka nenda, miaka rudi kwa sababu ya kuhonga watu wa TRA.

Kuna wafanyabiashara wako clean na wanaichachafya serikali kila siku lakini wanaendelea kufanya biashara zao bila tatizo lolote.

Kishimba alikuwa anafanya biashara nyingi tu za chini ya meza huku polisi na TRA wakijifanya hawaoni.
 
Back
Top Bottom