Sishangai coment yako vatar tu inajulisha akili na mawazo yako vimetawaliwa na nini.Acha uji ww mm naishi hapo shimba cjui k.shmba hata miktnk yke mpaka asombe wtu lembeli ndo chaguo ww standard7 peleka kulees
Mgombea ubunge jimbo la kahama mjini Mh.Jumanne Nkandi Kishimba...amesema kwamba atajenga kilometre ishirini za rami mjini humo...akihutubia wakazi wa kata nyahanga,mheshimiwa Nkandi alisema..tatizo la mji wa kahama ni miundombinu ya barabara,msongamano mkubwa ktk hospitali ya manispaa ya kahama....yeye akichaguliwa na wanakahama atatatua kero hizo ikiwemo na kuunganisha umeme wa uhakika ktk mgodi wa Buzwagi.....Kishimba amekuwa mdau mkubwa ktk kuchochea maendeleo ktk wilaya yake ya kahama ikiwemo kujenga shule na kuikabidhi serkali....pia sehemu ambazo wananchi waliitaji mchango wake bwana kishimba hakuwaacha nyuma....Hivyo kwa jinsi upepo ulivyo kahama Lembeli ana hali ngumu sana ya kisiasa...lembeli amekuwa akikutana na maswali mbalimbali kwamba"tangu awe mbunge kahama..amefanya nini kahama ili wanakahama wamkumbuke?"
Kwa uzoefu wng mdogo km 1 ya lami inaweza kugharimu 900Mil hadi 1Bil.Ss hizo pesa yy kama mbunge atatoa wp???? Tuwe makini jmn.
wanaota hawa mkuu waache usiwaamshe!!Kwa uzoefu wng mdogo km 1 ya lami inaweza kugharimu 900Mil hadi 1Bil.Ss hizo pesa yy kama mbunge atatoa wp???? Tuwe makini jmn.
Na UKAWA ni Muungano wa vyama vyetu!
Mgombea ubunge jimbo la kahama mjini Mh.Jumanne Nkandi Kishimba...amesema kwamba atajenga kilometre ishirini za rami mjini humo...akihutubia wakazi wa kata nyahanga,mheshimiwa Nkandi alisema..tatizo la mji wa kahama ni miundombinu ya barabara,msongamano mkubwa ktk hospitali ya manispaa ya kahama....yeye akichaguliwa na wanakahama atatatua kero hizo ikiwemo na kuunganisha umeme wa uhakika ktk mgodi wa Buzwagi.....Kishimba amekuwa mdau mkubwa ktk kuchochea maendeleo ktk wilaya yake ya kahama ikiwemo kujenga shule na kuikabidhi serkali....pia sehemu ambazo wananchi waliitaji mchango wake bwana kishimba hakuwaacha nyuma....Hivyo kwa jinsi upepo ulivyo kahama Lembeli ana hali ngumu sana ya kisiasa...lembeli amekuwa akikutana na maswali mbalimbali kwamba"tangu awe mbunge kahama..amefanya nini kahama ili wanakahama wamkumbuke?"
kishimba hiyo ni pesa ya mboga tu, anamiliki migodi zimbabwe akishirikiana na mugabe, mashamba ya walowezi aliyanunua yeye.
= lami

Kishimba hata angelikuwa Bill Gates,kwa kuwa yupo CCM hawezi kukubalika.CCM ni OUTCAST!!