Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,454
Lembeli ndio nani?
Ndugu yangu usidandie meli kwa mbele Kishimba namfahamu ni mtu wakujitolea tangu siku nyingi ni mzalendo wa kweli alijenga shule ya sekondari kwa ghalama zake na akikabidhi serikali bila fidia niambie nani anaeza akafanya hivo mwingine.
Sio hivo tu zamani alikuwa anakopesha mali wafanyabiashara karibu kanda ya ziwa yote uliza kama nasema uongo kwa Kahama Mzee wa nyeti za kuku hapati kitu ajipange tena
Mgombea ubunge jimbo la kahama mjini Mh.Jumanne Nkandi Kishimba...amesema kwamba atajenga kilometre ishirini za rami mjini humo...akihutubia wakazi wa kata nyahanga,mheshimiwa Nkandi alisema..tatizo la mji wa kahama ni miundombinu ya barabara,msongamano mkubwa ktk hospitali ya manispaa ya kahama....yeye akichaguliwa na wanakahama atatatua kero hizo ikiwemo na kuunganisha umeme wa uhakika ktk mgodi wa Buzwagi.....Kishimba amekuwa mdau mkubwa ktk kuchochea maendeleo ktk wilaya yake ya kahama ikiwemo kujenga shule na kuikabidhi serkali....pia sehemu ambazo wananchi waliitaji mchango wake bwana kishimba hakuwaacha nyuma....Hivyo kwa jinsi upepo ulivyo kahama Lembeli ana hali ngumu sana ya kisiasa...lembeli amekuwa akikutana na maswali mbalimbali kwamba"tangu awe mbunge kahama..amefanya nini kahama ili wanakahama wamkumbuke?"
Kama uliuwepo akilini mwangu,ni 1.2 bn kwa 1 km,na lami hii ni ya kawaida wanasema Kama hizi zinazoingia kwenye mitaa yetu ya ndani kwenye makazi..ila kwa lami ya barabara ya kiwango haswa kama hizi za barabara kubwa. Kama hizi. Za strabaga,inakwenda zaidi ya hii 1.2bn