KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,752
- 86,388
hill lako hiliShindwa we baba
hill lako hiliShindwa we baba
Si ndyo hapo hawajui jinsi gani ilivyo ngumu kuanza upya siku hiziWazazi wabinafsi sana na akiendeleaaa kuwasikiliza atashangaa hamna wa kukuoa
Just imagine anaingia Tena Kwa soko mpk apate wa kumuoa![]()
Binti hataolewa tena atazalia home na kupata usijili wa kudumu wa single mother![]()
Mahari kubwa yamkosesha mke
Ni kijana mwenzangu sekta ya afya, mwaka huu mwanzoni aliamua kwenda kutoa posa kwa binti ambaye alipanga aanzishe naye familia. Binti mwajiriwa wa serikali na asili yao ni kanda ya ziwa ila wanaishi na familia katika moja mikoa wa Pwani. Mshenga alitumwa pamoja na baadhi ya wanafamilia wa...www.jamiiforums.com
Mrejesho wa Thread hapo juu
Baada ya vuta ni kuvute kati ya familia ya kijana na binti kuhusu mahari.
Wanafamilia wa kijana wengi walionyesha kuchukizwa na tabia ya familia ya binti, baadhi ya wanafamilia wakiapa kuwa kama kijana akiendelea na mipango ya kumuoa huyo binti, wao hawatashiriki kabisa katika jambo hilo.
Kutokana na hali hiyo ya kutofikia muafaka kijana akakubali bora yaishe, Mshenga akatuma barua kwa familia ya binti kuwa kwa mahari hiyo ya milioni 5 bila kupungua , wao wameshindwa.
Baada ya wiki familia ya binti ikarudisha barau ya posa juu imeandikwa na wino mwekundu, IMEKATALIWA pamoja na shilingi laki tano za kishika uchumba.
Baada ya hayo ndugu wa kijana wengi wameonyesha kufurahishwa na muafaka huo.
Kijana amekubali matokeo kuwa haikuwa ridhiki yake.
Binti yeye ameonyesha kukubali kishingo upande kwani hii ni posa ya pili imekataliwa nyumbani kwao dhidi yake.
Mwanaume anapataje mkosi?? Si anapick mwingine maisha yanaenda,, huyo anayechagua asubiri atatafuta walau wakuleta barua tu!!Wote, hata mashangazi tumepata mkosi
Kabla ya posa ya tatu kukataliwa tena inabidi, hao wakataa posa wamuoe wao, la sivyo wajiandae kulea wajikuu non stop.![]()
Mahari kubwa yamkosesha mke
Ni kijana mwenzangu sekta ya afya, mwaka huu mwanzoni aliamua kwenda kutoa posa kwa binti ambaye alipanga aanzishe naye familia. Binti mwajiriwa wa serikali na asili yao ni kanda ya ziwa ila wanaishi na familia katika moja mikoa wa Pwani. Mshenga alitumwa pamoja na baadhi ya wanafamilia wa...www.jamiiforums.com
Mrejesho wa Thread hapo juu
Baada ya vuta ni kuvute kati ya familia ya kijana na binti kuhusu mahari.
Wanafamilia wa kijana wengi walionyesha kuchukizwa na tabia ya familia ya binti, baadhi ya wanafamilia wakiapa kuwa kama kijana akiendelea na mipango ya kumuoa huyo binti, wao hawatashiriki kabisa katika jambo hilo.
Kutokana na hali hiyo ya kutofikia muafaka kijana akakubali bora yaishe, Mshenga akatuma barua kwa familia ya binti kuwa kwa mahari hiyo ya milioni 5 bila kupungua , wao wameshindwa.
Baada ya wiki familia ya binti ikarudisha barau ya posa juu imeandikwa na wino mwekundu, IMEKATALIWA pamoja na shilingi laki tano za kishika uchumba.
Baada ya hayo ndugu wa kijana wengi wameonyesha kufurahishwa na muafaka huo.
Kijana amekubali matokeo kuwa haikuwa ridhiki yake.
Binti yeye ameonyesha kukubali kishingo upande kwani hii ni posa ya pili imekataliwa nyumbani kwao dhidi yake.
Tunda likisha iva sharti ulipeleke sokoni vinginevyo litaoza, hiyo familia italea wajukuu nyumbani hapoNamuonea huruma huyo binti jamani
Wazazi wake wanamchelewesha kuanzisha Familia kwa tamaa zao za pesa
Daah![]()
Mahari kubwa yamkosesha mke
Ni kijana mwenzangu sekta ya afya, mwaka huu mwanzoni aliamua kwenda kutoa posa kwa binti ambaye alipanga aanzishe naye familia. Binti mwajiriwa wa serikali na asili yao ni kanda ya ziwa ila wanaishi na familia katika moja mikoa wa Pwani. Mshenga alitumwa pamoja na baadhi ya wanafamilia wa...www.jamiiforums.com
Mrejesho wa Thread hapo juu
Baada ya vuta ni kuvute kati ya familia ya kijana na binti kuhusu mahari.
Wanafamilia wa kijana wengi walionyesha kuchukizwa na tabia ya familia ya binti, baadhi ya wanafamilia wakiapa kuwa kama kijana akiendelea na mipango ya kumuoa huyo binti, wao hawatashiriki kabisa katika jambo hilo.
Kutokana na hali hiyo ya kutofikia muafaka kijana akakubali bora yaishe, Mshenga akatuma barua kwa familia ya binti kuwa kwa mahari hiyo ya milioni 5 bila kupungua , wao wameshindwa.
Baada ya wiki familia ya binti ikarudisha barau ya posa juu imeandikwa na wino mwekundu, IMEKATALIWA pamoja na shilingi laki tano za kishika uchumba.
Baada ya hayo ndugu wa kijana wengi wameonyesha kufurahishwa na muafaka huo.
Kijana amekubali matokeo kuwa haikuwa ridhiki yake.
Binti yeye ameonyesha kukubali kishingo upande kwani hii ni posa ya pili imekataliwa nyumbani kwao dhidi yake.
Sio Al nasry ?Wangoje dau kubwa kutoka Real madrid au PSG![]()
Kabisa na wakiendelea kufanya hivi itapelekea huyu binti kufanya maamuzi magumuTunda likisha iva sharti ulipeleke sokoni vinginevyo litaoza, hiyo familia italea wajukuu nyumbani hapo
Yote hiyo ya nini? Kuanzia sasa,kwa shingo upande. Mahari mwisho,elfu hamsini tuuu. Full stopHata mimi sitoi milioni 5 labda awe bikra. Mwisho milioni 2-2.5.
Cha kwanza kabisa nimeelewa neno "rejareja". Wazazi wanawaandalia vijana mazingira ya hit and runDuh! wameona biashara ya rejareja inalipa zaidi kuliko ya jumla.
Hili ndilo wazo mzigo kwanza document baadaye🤣🤣🤣🤣🤣🪑We nae miyeyusho ukishaona Kuna vikwazo vingi kumchukua binti rejea kwenye katiba ya jamhuri ya mabachela ibara 19 kifungu kidogo 2(a)piga mimba, ikifika miezi sita Anza taratibu za uchumba haraka sana, ikiwezekana zuga uonekane mimba si yako bali lengo lako ni kumuoa na mimba si kikwazo