Kishika uchumba kimerudishwa

Kishika uchumba kimerudishwa

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
9,575
Reaction score
12,368

Mrejesho wa Thread hapo juu

Baada ya vuta ni kuvute kati ya familia ya kijana na binti kuhusu mahari.

Wanafamilia wa kijana wengi walionyesha kuchukizwa na tabia ya familia ya binti, baadhi ya wanafamilia wakiapa kuwa kama kijana akiendelea na mipango ya kumuoa huyo binti, wao hawatashiriki kabisa katika jambo hilo.

Kutokana na hali hiyo ya kutofikia muafaka kijana akakubali bora yaishe, Mshenga akatuma barua kwa familia ya binti kuwa kwa mahari hiyo ya milioni 5 bila kupungua , wao wameshindwa.

Baada ya wiki familia ya binti ikarudisha barau ya posa juu imeandikwa na wino mwekundu, IMEKATALIWA pamoja na shilingi laki tano za kishika uchumba.

Baada ya hayo ndugu wa kijana wengi wameonyesha kufurahishwa na muafaka huo.

Kijana amekubali matokeo kuwa haikuwa ridhiki yake.

Binti yeye ameonyesha kukubali kishingo upande kwani hii ni posa ya pili imekataliwa nyumbani kwao dhidi yake.
 
Hata mimi sitoi milioni 5 labda awe bikra. Mwisho milioni 2-2.5.
 
IMG_1664.jpg
 
Namuonea huruma huyo binti jamani
Wazazi wake wanamchelewesha kuanzisha Familia kwa tamaa zao za pesa
Wazazi wabinafsi sana na akiendeleaaa kuwasikiliza atashangaa hamna wa kukuoa
Just imagine anaingia Tena Kwa soko mpk apate wa kumuoa
 
Vijana kila siku tunawapatia ushauri wa kutatua shida ndogo ndogo kama hizo lakini hawasikii..

Nakumbushia tena; Ukiona mahari ni kubwa mpe mimba binti yao akishazaa nenda kajitambulishe uchukue mkeo na mtoto kwa bei rahisi kabisa tena hata kwa mkopo. Wakizingua waachie mwanao na mjukuu wao.
 
Back
Top Bottom