Kishansa mji msafi kuliko Dar licha ya Vita kwanini

Kishansa mji msafi kuliko Dar licha ya Vita kwanini

Kinshasa hamna vita.

Vita ipo Mashariki mwa DRC pekee.
 
Usafi unaanzia kwa watu. Wacongoman ni wasafi sio kama sisi.

Ni kweli kabisa usafi unaanzia kwa watu binafsi. Bongo tuko na vinasaba vya kiarabu arabu au kipemba pemba hivi.kimwinyimwinyi flan hivi.bado tuna safari ndefu. Bongo ukikaa vibaya unaweza kuta asubuhi ukiamka mtu amekuwekea viroba viwili vya taka kibarazani.

Angalia hata hayo magari ya taka toka Tazara mpaka pugu lazima ukutane na magari angalau matano yaliyoharibika yakiwa na taka na yana siku angalau tatu.
 
Nimesema mwongo kw sbbu mifano ulioutoa hauna mantiki,congo kwanza hakuna serikali,ila kuna watawala,congo hakuna mwekezaji wa maana ,kumetamalaki magenge ya wapigaji tu,rushwa,ufisadi,yaani congo imeoza.hakuna kodi inayokusanywa!!leo uje utoe leo mfano wa hivyo?! Na km congo huijui umetoa wp ujasili wa kuifananisha na nchi yako km c mwongo.ukifka tu kasumbalesa unaanza kunusa uchafu wa kongo.fika lubumbashi uione jins ilivyo hovyo!!! Chukua barabara uelekee bitoto au badundu uione congo ilivyo ya hovyo!! Km huwez safiri kw gari toka libumvashi mpk goma mpk ndege!! Barabara ni mbovu hujawahi ona.leo anatokea mtu anakwambia upuuz na wewe unaitikia hewalaa.
inazungumziwa Kinshasa achana na huko lubumbashi sijui goma
 
Usafi ni tabia, Tabia ya usafi kwa watanzania wengi na hasa Dar es salaam ni tatizo kubwa. Huchagizwa zaidi na dharau mizaha mizaha na kutokuheshimu sheria. Miji yote mikubwa ya nchi tunazopakana nazo upande wa magharibi kutoka mpaka wetu ni misafi na juhudi za kusafisha mazingira zinaonekana wazi wazi. Kuna sehemu hapa Dar nimeona viloba vya uchafu leo, vimetapakaa barabarani, watu wanaendelea na shughuli zao kwa tabasamu pana pamoja na harufu ya uvundo.
 
Back
Top Bottom