Kishansa mji msafi kuliko Dar licha ya Vita kwanini

Kisansa nijiji linawatu million 11 na nijiji nisafi sana kuliko bongo licha ya vita na uchumi mbaya.je shida ninini kwa Bongo kuzidiwa na nchi zinazotoka nyuma yetu
Watu wa huko ni waelewa. Wanashirikiana na viongozi wao katika usafi na kutunza mazingira.
 
Kisansa nijiji linawatu million 11 na nijiji nisafi sana kuliko bongo licha ya vita na uchumi mbaya.je shida ninini kwa Bongo kuzidiwa na nchi zinazotoka nyuma yetu
Huu ni ukweli ingawa mchungu kumeza. Jiji la Dar linatia aibu sana
 
Watu wapo vitani..huo muda wa kulakula na kutupa takataka ovyo wanautoa wapi.
 
Kinshasa kuna vita? Kwani chanzo cha uchafu ni nn kwahyo hao watu 11M hawafanyi biashara,hawali Chakula,hawanywi,na hakuna viwanda?
 
Baeleze aisee. Jiji hili ni kama lipo nchi nyingine. Ni mbali mno na Congo Mashariki kwenye mtifuano wa vita kila leo.Hata hapo tu jirani na Goma Lubumbashi ni tulivu utafikiri si Kongo. Hivyo usafi wa Kinshasa hauna uhusiano wowote na kuwepo ama kutokuwepo vita nchini humo.
 
Siku zote mji hujengwa na watu ambao hawawazwi na viongozi. Huku kwetu hata ungebarikiwa ukawa na mtaji wa kutosha huwezi kuwekeza nchi hii kwasababu sera ya nchi hii bado si rafiki sana kwa uwekezaji, hata km ungekuwa mlipa kodi mzuri lakini bado utaitwa mpiga dili, mwizi, fisadi hayo yote ndo majina yako. Sasa kwa wenzetu wawekezaji wanaheshimiwa na wanalipa kodi vizuri. Huku ukiheshimiwa labda km ulimkomboa kiongozi kwenye uchaguzi na mwisho atakugeuka tu... Watu pekee bongo ambao wako huru kwa sasa kuwekeza ni bashite, mzee, na gambo
 
Hebu nitajie mitaa uliyowahi kufika kinshasa,mitaa ambayo utaifanya km kuelelezo?! Chumvi nyingi sn pia mnatia na kachumbali.
 
Siku zote mji hujengwa na watu ambao hawawazwi na viongozi. Huku kwetu hata ungebarikiwa ukawa na mtaji wa kutosha huwezi kuwekeza nchi hii kwasababu sera ya nchi hii bado si rafiki sana kwa uwekezaji, hata km ungekuwa mlipa kodi mzuri lakini bado utaitwa mpiga dili, mwizi, fisadi hayo yote ndo majina yako. Sasa kwa wenzetu wawekezaji wanaheshimiwa na wanalipa kodi vizuri. Huku ukiheshimiwa labda km ulimkomboa kiongozi kwenye uchaguzi na mwisho atakugeuka tu... Watu pekee bongo ambao wako huru kwa sasa kuwekeza ni bashite, mzee, na gambo
Wewe ni mwongo mkubwa.huijui congo hata ile robo,hv toka lini congo ikawa hivyo??!!
 
Kuna hii hali ya biashara kufanyia popote dar imekuwa kama gulio! Nini mbaya!?
 
Wewe ni mwongo mkubwa.huijui congo hata ile robo,hv toka lini congo ikawa hivyo??!!
Yaan wewe kila mtu unaona ni mwongo, mkweli daima ni wewe tu, sasa kwanini mpk leo usiitwe mungu? Hata maelezo hujamaliza kusoma umerukia kujibu tu. Mimi hapo nimezungumzia kwetu na si Kinshasa
 
Kisansa nijiji linawatu million 11 na nijiji nisafi sana kuliko bongo licha ya vita na uchumi mbaya.je shida ninini kwa Bongo kuzidiwa na nchi zinazotoka nyuma yetu
Aibu, natumaini wahusika wataiona hii thread.. [emoji34] [emoji34] [emoji34]
 
Yaan wewe kila mtu unaona ni mwongo, mkweli daima ni wewe tu, sasa kwanini mpk leo usiitwe mungu? Hata maelezo hujamaliza kusoma umerukia kujibu tu. Mimi hapo nimezungumzia kwetu na si Kinshasa
Nimesema mwongo kw sbbu mifano ulioutoa hauna mantiki,congo kwanza hakuna serikali,ila kuna watawala,congo hakuna mwekezaji wa maana ,kumetamalaki magenge ya wapigaji tu,rushwa,ufisadi,yaani congo imeoza.hakuna kodi inayokusanywa!!leo uje utoe leo mfano wa hivyo?! Na km congo huijui umetoa wp ujasili wa kuifananisha na nchi yako km c mwongo.ukifka tu kasumbalesa unaanza kunusa uchafu wa kongo.fika lubumbashi uione jins ilivyo hovyo!!! Chukua barabara uelekee bitoto au badundu uione congo ilivyo ya hovyo!! Km huwez safiri kw gari toka libumvashi mpk goma mpk ndege!! Barabara ni mbovu hujawahi ona.leo anatokea mtu anakwambia upuuz na wewe unaitikia hewalaa.
 
Sasa hoja yangu hapo inahusiana vipi na kuijua mitaa ya Kinshasa? Hoja ni usafi wa jiji hilo kwamba kwetu ni kuchafu kulinganisha na Kinshasa ambao upo ktk nchi yenye migogoro ya vita.Ninasema DRC ni nchi kubwa mno kiasi kwamba kinachotokea Goma Kinshasa haina habari hata kidogo na ndiyo maana ni msafi..sasa nikutajie tu mitaa ya Kinshasa kwa kuwa ww unataka? Kama unataka leta hoja tukutajie siyo kuchanganya mada..
 
Nimesema mwongo kw sbbu mifano ulioutoa hauna mantiki,congo kwanza hakuna serikali,ila kuna watawala,congo hakuna mwekezaji wa maana ,kumetamalaki magenge ya wapigaji tu,rushwa,ufisadi,yaani congo imeoza.hakuna kodi inayokusanywa!!leo uje utoe leo mfano wa hivyo?! Na km congo huijui umetoa wp ujasili wa kuifananisha na nchi yako km c mwongo.ukifka tu kasumbalesa unaanza kunusa uchafu wa kongo.fika lubumbashi uione jins ilivyo hovyo!!! Chukua barabara uelekee bitoto au badundu uione congo ilivyo ya hovyo!! Km huwez safiri kw gari toka libumvashi mpk goma mpk ndege!! Barabara ni mbovu hujawahi ona.leo anatokea mtu anakwambia upuuz na wewe unaitikia hewalaa.
Afadhali huo mji umejengwa na magenge ya rushwa lakini wakiamka hao wanauwezo wa kujenga nchi yao vizuri tena mara mia ya hapo. Sisi huku tunajenga miji kwa lipi tulilonalo barabara zilizojengwa miaka ya karibuni ni mashimo matupu. Nenda pale kia uwanja wa kimataifa lakini angalia ilivyo kreki za kutisha. Viongozi wapo tu wanasaka sifa
 
Back
Top Bottom