KISBO DAR - MWANZA: Abiria alazimishwa kukojoa kwenye chupa ili dereva awahi

Zoezi Kuchimba Dawa Ni Endelevu Na Halipaswi Kuwekewa Vikwazo. Ikumbukwe Kuwa Si Abiria Wote Ni Wazima, Wengine Ni Wagonjwa Kuchimba Dawa Ni Lazima Kila Umbali Wa Kilometa/muda Kadhaa. Madereva Wa Mabasi Wasitake Kukera Abiria Wote Pindi Mmowapo Wa Abiria Atakapobanwa Na Haja Kupwa Ikamtoka Bila Kupenda Basi Zima Litageuka Choo Kwa Harufu Ya Kinyesi Cha Watu Waliobanwa Wakashindwa Kuvumilia Wakaachia. Wengine Wanaumwa Matumbo. Ni Bora Madereva Wakawa Waungwana Wakumbuke Wamebeba Watu.
Mtakunya kwenye mfuko
 
Vitu vingine rahisi sana, ungekojoa pale mbele wanakokaaga pale, na mara ya pili ukikubana unataka kukojoa unawaomba wakigoma tena unaumwaga chini kama kawa, upumbavu hujibiwa na upumbavu..
 
Tumieni mifuko ya rambo kumwaga kojo lako uwapo safarini au tembea na jagi la maji mana mambo ya kisbo si mumeyaona
1: kukojoa kwenye chupa kuna madhara?
2: mwanaume MNA Raha kwahiyo alitoa dushe kichwa naweka kwenye mdomo wa chupa ya Maji? nipo nazoom how it was
3: angekuwa mwanamke ingekuwaje? Sisi kulenga pale kwenye chupa ni taabu sana
 
Kisbo ndege ya ardhini..hilo wanapanda watu wa business class wew ulifuata nini humo na kibofu chako kibovu?
Kwahiyo business class ndio wanaojaza machupa ya mikojo njiani? Au business class huwa mnawekewa catheter mkianza safari? Wasuku tunashida sana . Tena wanakojoa pori kwa pori kama kuna wafanya biashara si kuna bombadier au ile yenye chata kwa 5mil painting muwahi?
 
HONGERA DEREVA KWA KUJALI MAZINGIRA YETU.

UKIJIJUA WE NI KIKOJOZI USINYWE MAJI MENGI UKIWA UNASAFIRI AU NUNUA GARI YAKO
 
Hii ilikua Kisbo ya Kahama - Dar. Nami nilipanda humo humo
Kwa jana nilikuwa miongoni mwa abilia tulio safiri na gari aina ya Kisbo, hii kwa mara ya kwanza hii gar ilikuwa na kakondakita kana majibu ya ajabu,kuna dreva kijana mwembamba yeye alitupokea pale Dodoma kwanza anaendesha gar ovyo ovyo mno,ukilinganisha na yule Bonge.

Cha kuskitisha jana tulianza safar vizr,yule dreva Bonge alitoa dakika tatu za kuchimba sawa polini,kabla hata ya singida baada ya hapo hatukupewa muda wwte kutoka singida mpka tunaitafta morogoro.

Ghafla watu wakaanza kulalamika kubanaa na haja ndgo, ilikuwa ukiomba nafasi gar ismame unashambuliwa balaa.ghafla baba mmoja alitoka mbele kuja kwa dreva kumuomba asimamishe gar ili ajisaidie huyo dreva akamwambia chukua chupa mzee ukojoe tutoboe sisi.

Kweli mzee wa watu akachukua chupa na kukojoa humo paspo kujua madhara makubwa yatokanayo kukojoa kwenye chupa.
 
Ndege ya ardhini hyo. Dereva haswa yule bonge akishikilia pale morogoro kuja Dar Es salaam utatamani kuokoka siku hyo.
Nawashauri tu panda kisbo kama unaharaka tu na kama Una moyo mgumu wakuzinguana na makondakta wale makonda Wa kisbo ni Machizi Sana hawashindwi kukurudishia nauli yako popote. Sijui jeuri wanaitoa wapi
 
Kisbo safari wababe wa ardhini ,ingawa makondakta wake ni vichaa kweli hadi madereva wao pia.

Ukipanda Kisbo lazma Na wewe uwe mjuaji kwelikweli Na ubishane nao kibabe haswaa

Kama huwezi ubishi panda jm luxury ,rungwe au dar lux achana Na Kisbo ndo basi zetu tusiopenda kusafiri gizani aiseee.
 
Mabasi ya bara yanakimbizwa sana!
Halafu mida ya asubuhi na jioni ndo kabisa sababu wanajua hakuna trafik barabarani!
Kwanza madereva wengine sijui wanapunguza mlio wa ving’amuzi?
Askari naomba mfatilie hili,
Halafu Wengine wanaendesha mwendo kasi hata vingamuzi vikipiga kelele hawajali wala nini ,
Yani ni mwendo kasi tu na kelele za king’amuzi
 
Yani mimi naona siku ya kwenda safari ya bara itabidi nijitahidi nipande ndege,
Kwa basi nitagombana na dereva sababu sitakubali mhuni afanye jaribio la kuhatarisha maisha yangu!
Sitachelewa kumzingua dereva kiukweli kabisa!
Napenda mwendo wa kisheria na siyo mwendo wa kihuni!
 
Naona kuna watu wanashabikia mwendo kasi lakini ni hatari sana!
Kwa mtu mwenye maono lazima angaalie njia zake jinsi aendavyo.
 
Mabasi nayo yangekuwa yanabeba watu kama humu JF ambapo kila mmoja ni Tiss au kigogo au mtoto wa flani mbona dereva angeshushwa
Unalalamika wakati kulikuwa na wanaume humo
Umekera sana ujue
Mimi bus kujaza watu tu tlipofika nje kidogo tu ya mji police wakasimamisha na kukagua wakasema bus lirudi mjini
Lakini walikuwa traffic 3 mmoja kaitwa na conda nje akarudi tukaruhusiwa eti msirudie
Yaani maneno niliyowapa wale police hawatasahau
Siku nyingine pigeni simu kituo chochote cha Police na kutoa taarifa mbona namba zipo
 
Back
Top Bottom