KISBO DAR - MWANZA: Abiria alazimishwa kukojoa kwenye chupa ili dereva awahi

Zoezi Kuchimba Dawa Ni Endelevu Na Halipaswi Kuwekewa Vikwazo. Ikumbukwe Kuwa Si Abiria Wote Ni Wazima, Wengine Ni Wagonjwa Kuchimba Dawa Ni Lazima Kila Umbali Wa Kilometa/muda Kadhaa. Madereva Wa Mabasi Wasitake Kukera Abiria Wote Pindi Mmowapo Wa Abiria Atakapobanwa Na Haja Kupwa Ikamtoka Bila Kupenda Basi Zima Litageuka Choo Kwa Harufu Ya Kinyesi Cha Watu Waliobanwa Wakashindwa Kuvumilia Wakaachia. Wengine Wanaumwa Matumbo. Ni Bora Madereva Wakawa Waungwana Wakumbuke Wamebeba Watu.
 
Abiria wengine Hadi KERO, unajijua ukinywa maji huwa unakojoa kojoa ovyo, Kwanini unywe maji mengi?

Kumbuka haki yako pia Kuna haki ya wengine wanawahi wagonjwa kupeleka dawa, Wengine mazishi kwahiyo abiria tuwe making tunaposafiti hasa masafa marefu.

Istoshe Serikali ilishapiga marufuku KUCHIMBA dawa porini huo NI uharibifu wa mazingira. gari ikiingia stendi omba kinda kakojoe. sio kila mahala gari lisimame.

Pia muwe makini wengine anaweza kujifanya anataka kukojoa kumbe kala njama na wahalifu gari linasimama porini mnatekwa wote na kuibiwa.
 
kwa magari yapi yanayikimbia miaka hii?
Siku nyingine muwe mnapeleleza magari kwanza kabla ya kusafiri, hasa nyie wasafiri wa msimu hadi msimu.
Hayo magari yana abiria wake hasa wafanyabishara, na hiyo ni kawaida kwa magari yote ya kwenda mikoani.
 
1: kukojoa kwenye chupa kuna madhara?
2: mwanaume MNA Raha kwahiyo alitoa dushe kichwa naweka kwenye mdomo wa chupa ya Maji?😁😁😁😁😁 nipo nazoom how it was😁😁😁
3: angekuwa mwanamke ingekuwaje? Sisi kulenga pale kwenye chupa ni taabu sana😂😂😂😂
 
Kwa jana nilikuwa miongoni mwa abilia tulio safiri na gari aina ya Kisbo, hii kwa mara ya kwanza hii gar ilikuwa na kakondakita kana majibu ya ajabu,kuna dreva kijana mwembamba yeye alitupokea pale Dodoma kwanza anaendesha gar ovyo ovyo mno,ukilinganisha na yule Bonge.

Cha kuskitisha jana tulianza safar vizr,yule dreva Bonge alitoa dakika tatu za kuchimba sawa polini,kabla hata ya singida baada ya hapo hatukupewa muda wwte kutoka singida mpka tunaitafta morogoro.

Ghafla watu wakaanza kulalamika kubanaa na haja ndgo, ilikuwa ukiomba nafasi gar ismame unashambuliwa balaa.ghafla baba mmoja alitoka mbele kuja kwa dreva kumuomba asimamishe gar ili ajisaidie huyo dreva akamwambia chukua chupa mzee ukojoe tutoboe sisi.

Kweli mzee wa watu akachukua chupa na kukojoa humo paspo kujua madhara makubwa yatokanayo kukojoa kwenye chupa.
Hapo mjinga ni dreva au ni nyie abiria wote wa basi hilo? Yaani wakati mwingine akili zetu watz niza kuhurumia tu, yaani haki zetu wakati mwingine zinakuwa hisani!!! Na abiria ukija juu, hao hao abiria wenzako ndio wanakuwa wakali kwako.
 
Nawashauri tu panda kisbo kama unaharaka tu na kama Una moyo mgumu wakuzinguana na makondakta wale makonda Wa kisbo ni Machizi Sana hawashindwi kukurudishia nauli yako popote. Sijui jeuri wanaitoa wapi
 
Kwa jana nilikuwa miongoni mwa abilia tulio safiri na gari aina ya Kisbo, hii kwa mara ya kwanza hii gar ilikuwa na kakondakita kana majibu ya ajabu,kuna dreva kijana mwembamba yeye alitupokea pale Dodoma kwanza anaendesha gar ovyo ovyo mno,ukilinganisha na yule Bonge.

Cha kuskitisha jana tulianza safar vizr,yule dreva Bonge alitoa dakika tatu za kuchimba sawa polini,kabla hata ya singida baada ya hapo hatukupewa muda wwte kutoka singida mpka tunaitafta morogoro.

Ghafla watu wakaanza kulalamika kubanaa na haja ndgo, ilikuwa ukiomba nafasi gar ismame unashambuliwa balaa.ghafla baba mmoja alitoka mbele kuja kwa dreva kumuomba asimamishe gar ili ajisaidie huyo dreva akamwambia chukua chupa mzee ukojoe tutoboe sisi.

Kweli mzee wa watu akachukua chupa na kukojoa humo paspo kujua madhara makubwa yatokanayo kukojoa kwenye chupa.

Mkuu Wewe utakua ni mgeani katika safari za mwanza-dar, hiyo route ina bus nyingi sana hata 40 yanaweza timia, na kila kampuni ina abiria wake kabisa,

Kuna buss za starehe, yaani wala bata. Wenyewe hata bus itumie siku 3 kwenda dar hawana shida.

Kuna bus kwa ajili ya watu wa kazi, watu wa appointment na wafanyabiashara (wengi wao ni wasukuma wa mwanza na wanyantuzu wa simiyu ) hao watu hawataki kusikia bus inalala njiani, hapo Ndio utakutana na Kisbo na kibo

Ukijaribu kukumbuka vizuri kwa aliekua anaomba kujisaidia hata abiria tu walikua either wanamshangaa, ama wanamcheka.

Umezungumzia neno kutoboa

Kwa kifupi ni kwamba kwa route ya mwanza -dar, ikifika saa 4 kamili za usiku bus yenu haijafika morogoro ujue hamtaruhusiwa kuendelea na safari, lazima mtalala hapo na mtaendelea na safari yenu baadae alfajiri.
Na mwendo wa bus kumbuka uko limited siku hizi, ni 80 kph

Sasa kwa aina hiyo ya abiria niliokutajia, hawataki kusikia habari ya kulala njiani,
Utasikia Dereva usifanye masihara tunataka kutoboa sisi oohooo!

Na moja ya vitu vinavyochelewesha safari ni hiyo ya kukojoakojoa hovyo,
Kisbo kwa ku-serve muda wana vituo vyao maalum, wakitoka mwanza kituo ni shinyanga, wakitoka shinyanga ni singida, baada ya singida ni manyoni, na baada ya hapo ni dodoma, wakitoka dodoma chuma inatembea mpaka morogoro kabla ya saa 4 wanapita hapo, na kituo kinachofuata ni ubungo.

Hata ukitoa taarifa kituo cha polisi abiria karibu wote watakugeuka maana lengo lao ni kutoboa
 
mabasi ya kanda ya ziwa ukitoa Dar lux na jm luxury ,hayo mengine yote ni upumbavu mtupu.
 
Aisee
 
1: kukojoa kwenye chupa kuna madhara?
2: mwanaume MNA Raha kwahiyo alitoa dushe kichwa naweka kwenye mdomo wa chupa ya Maji? nipo nazoom how it was
3: angekuwa mwanamke ingekuwaje? Sisi kulenga pale kwenye chupa ni taabu sana
si unamuomba jirani yako wakiume auchukue kwako kisha auweke kwenye chupa.
Ni rahisi sana.
 
Back
Top Bottom