KISBO DAR - MWANZA: Abiria alazimishwa kukojoa kwenye chupa ili dereva awahi

Mkuu Wewe utakua ni mgeani katika safari za mwanza-dar, hiyo route ina bus nyingi sana hata 40 yanaweza timia, na kila kampuni ina abiria wake kabisa,

Kuna buss za starehe, yaani wala bata. Wenyewe hata bus itumie siku 3 kwenda dar hawana shida.

Kuna bus kwa ajili ya watu wa kazi, watu wa appointment na wafanyabiashara (wengi wao ni wasukuma wa mwanza na wanyantuzu wa simiyu ) hao watu hawataki kusikia bus inalala njiani, hapo Ndio utakutana na Kisbo na kibo

Ukijaribu kukumbuka vizuri kwa aliekua anaomba kujisaidia hata abiria tu walikua either wanamshangaa, ama wanamcheka.

Umezungumzia neno kutoboa

Kwa kifupi ni kwamba kwa route ya mwanza -dar, ikifika saa 4 kamili za usiku bus yenu haijafika morogoro ujue hamtaruhusiwa kuendelea na safari, lazima mtalala hapo na mtaendelea na safari yenu baadae alfajiri.
Na mwendo wa bus kumbuka uko limited siku hizi, ni 80 kph

Sasa kwa aina hiyo ya abiria niliokutajia, hawataki kusikia habari ya kulala njiani,
Utasikia Dereva usifanye masihara tunataka kutoboa sisi oohooo!

Na moja ya vitu vinavyochelewesha safari ni hiyo ya kukojoakojoa hovyo,
Kisbo kwa ku-serve muda wana vituo vyao maalum, wakitoka mwanza kituo ni shinyanga, wakitoka shinyanga ni singida, baada ya singida ni manyoni, na baada ya hapo ni dodoma, wakitoka dodoma chuma inatembea mpaka morogoro kabla ya saa 4 wanapita hapo, na kituo kinachofuata ni ubungo.

Hata ukitoa taarifa kituo cha polisi abiria karibu wote watakugeuka maana lengo lao ni kutoboa
Ume muelewesha Vizuri sana Mkuu
 
Kwa jana nilikuwa miongoni mwa abilia tulio safiri na gari aina ya Kisbo, hii kwa mara ya kwanza hii gar ilikuwa na kakondakita kana majibu ya ajabu,kuna dreva kijana mwembamba yeye alitupokea pale Dodoma kwanza anaendesha gar ovyo ovyo mno,ukilinganisha na yule Bonge.

Cha kuskitisha jana tulianza safar vizr,yule dreva Bonge alitoa dakika tatu za kuchimba sawa polini,kabla hata ya singida baada ya hapo hatukupewa muda wwte kutoka singida mpka tunaitafta morogoro.

Ghafla watu wakaanza kulalamika kubanaa na haja ndgo, ilikuwa ukiomba nafasi gar ismame unashambuliwa balaa.ghafla baba mmoja alitoka mbele kuja kwa dreva kumuomba asimamishe gar ili ajisaidie huyo dreva akamwambia chukua chupa mzee ukojoe tutoboe sisi.

Kweli mzee wa watu akachukua chupa na kukojoa humo paspo kujua madhara makubwa yatokanayo kukojoa kwenye chupa.
Gari aina ya KISBO.
 
Mkuu naomba nikuambie sio tu KISBA wenye huu mchezo hata magari mengine mi ilishanitokea kwenye DAR LUX nLIKUWA NAENDA Mwanza,tumechimba dawa morogoro nlikuwa naumwa nikanywa dawa pale morogoro na maji mengi kama mnavyojua dawa unatakiwa unywe na maji mengi sasa tumefika kabla ya Dodoma mkojo ukanibana nikajitahidi nifike Dodoma ndo nikojoe,kweli nikafika Dodoma nikawaambia jamaa wakagoma,waksema mpaka sehemu ya kula...mbele mbele nafikiri karibu na bahi,ni kama SAA1 Kutoka Dodoma mjini,nililaumu sana sana aisee,ok sawa nilijibana balaa,nikafika nikakojoa,baada ya hapo tukafika Singida stand nikaomba kukojoa jamaa wakakata kata kata sababu eti wanataka wawahi Shinyanga wasilale,nikawaambie hivi nyie singida ni mji mkubwa kwanini hamtaki watu tukojoe hapa kwenye mji mkubwa eti wanasema kituo cha Mwisho kukojoa ni DODOMA,Baada ya hapo ni Mpaka Shinyanga,ulikuwa Ubishani mkubwa sana,nikawaambia haiwezekani Kilometer nyingi hivi mtu asikojoe,nikawaambia mkitaka niacheni hapa mi nashuka,nikapata jamaa mmoja akaniunga mkono tutashuka..haraka haraka honiii tukamaliza tukaja...yaani haya mabasi haya wa dar mwanza wanaudhi sana,mawazo yangu ni lazima mikoa mikubwa kama Morogoro,Dodoma,Singida,shinyanga watu washuke kujisaidia,eti Singida huwa hakuna basi linaloshusha kokojoa ndivyo nilikuwa naambiwa,eti ndio maana wenzao wanawahi Shinyanga.
 
Hii ni kwa mabasi karibia yote yanayoenda njia hio. Lengo lao ni kuvuka Shinyanga thus mnapelekeshwa kama ng'ombe.
 
1: kukojoa kwenye chupa kuna madhara?
2: mwanaume MNA Raha kwahiyo alitoa dushe kichwa naweka kwenye mdomo wa chupa ya Maji? nipo nazoom how it was
3: angekuwa mwanamke ingekuwaje? Sisi kulenga pale kwenye chupa ni taabu sana
 
Ungejitahidi kulengesha mwingine kwenye chupa mwingine kwenye floor ya bus 😜

1: kukojoa kwenye chupa kuna madhara?
2: mwanaume MNA Raha kwahiyo alitoa dushe kichwa naweka kwenye mdomo wa chupa ya Maji?😁😁😁😁😁 nipo nazoom how it was😁😁😁
3: angekuwa mwanamke ingekuwaje? Sisi kulenga pale kwenye chupa ni taabu sana😂😂😂😂
 
Hiyo gar ni noma hailali njiani, ndo ya kwanza kuingia dar toka mwnz naipenda sanaaa
 
Kisbo kwa sisi wadau tunaziita "Sufuria" tukimaanisha locally made..yaani body sio mchina...ila kwenye kumwaga moto mchina anasubiri..Kisbo kama una presha usipande..sio kwamba wanakimbia kihivyo ila wanajali sana muda..hakuna vituo Bangi...
 
Back
Top Bottom