KISBO DAR - MWANZA: Abiria alazimishwa kukojoa kwenye chupa ili dereva awahi

Kusafiri na bus ni Kama abiria mnakua mateka kwa muda...
Mpango mzima usafiri binafsi dawa mnachimba popote muda wowote mfano huu hapa
IMG_20190308_115127.jpeg
 
Angesaidiwa na abiria wenza kulenga
1: kukojoa kwenye chupa kuna madhara?
2: mwanaume MNA Raha kwahiyo alitoa dushe kichwa naweka kwenye mdomo wa chupa ya Maji? nipo nazoom how it was
3: angekuwa mwanamke ingekuwaje? Sisi kulenga pale kwenye chupa ni taabu sana
 
Naona tangu lugola aseme marufuku tochi kwa nyuma matrafiki wamesusa mabasi yanakimbia walau kidogo.
Buffalo ya moshi dar inaingia saa 8 badala ya saa 9:45.
Al saedy ya mbeya inaingia saa 1 mbezi
Kisbo huwa wana pesa za faini pia wanaringia kuwa na uhusiano na Said Mwema
 
MIMI NISHAWAHI KUKOJOA USHIROMBO HUKU BASI INATEMBEA, DEREVA ALINIAMBIA TUKISIMAMA HAPA TUMEKWISHA
 
Back
Top Bottom