kibao cha mbuzi
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 507
- 489
Dini mkristo tena damu damu kwelikweliMtoa Mada ungekua una Dini
Ungepata jibu lako la
NINI MAANA YA KIFO
Hapa Naona unatupotezea muda kuchart na Mikafiri isiomjua MUNGU WAO ALIOWAUMBA..
Hakuna Mwanasayansi anaemuamini MUNGU
Wote hao ni Makafiri tu
Kwa mjibu wa Dr Elvid Waminiani ,kupitia clouds fm katika Kipindi cha Temino. Anasema kwamba, watu hawafi mwili ndo umakufa lakn nafsi yako inakuwa hai Siku zote
Kama damu damu kweli ktk dini vipi usijue nini maana ya KIFO??Dini mkristo tena damu damu kwelikweli
Yaliyoandikwa hayajawahi kidhibitishwa any where kisayansiKama damu damu kweli ktk dini vipi usijue nini maana ya KIFO??
Soma vizuri kitabu cha dini kinasema nini kuhusu au maana ya KIFO..
Unaweza kua na dini lkn ukawa Mkumbo tu kwenda kusali lkn usijue lolote kichwani
Kwahio unaamini sayansi kuliko kitabu cha dini yako,,Yaliyoandikwa hayajawahi kidhibitishwa any where kisayansi
Sina maana hiyo.Kwahio unaamini sayansi kuliko kitabu cha dini yako,,
Kafiri ni Kafiri tu.
Hata ukimtia ndani ya chupa ya soda lazma atatoa japo kidole nje
Kafiri hiloooooSina maana hiyo.
Waza tu kidonchiii mkuu
Ni hapa tu kweny keybody ila mi ni muumini safi mnoKafiri hilooooo
Nawewe umejuaje kuwa hakuna kitakachotokea baada ya kifo?Dr. Elvid alikufaga? Kwamba anajua mambo t
ya roho? Ni uwongo uwo mkuu hakuna maisha
Hakuna kitakachoamka baadaya ya kufa
Sasa wewe unapinga nini halafu unasema nini tena?Dr. Elvid alikufaga? Kwamba anajua mambo t
ya roho? Ni uwongo uwo mkuu hakuna maisha
Hakuna kitakachoamka baadaya ya kufa
Kujua kifo ni swala dogo mno lakini litakuwa gumu muno kama hujajijua wewe ni nani ?
Na ukitaka ujue we ni nani lazima ufute yote unayohisi unayajua na uanze upya kutafuta hasa hicho kitu wewe naa kwa ninavyo kuona unaogopa kifo kwasababu unahofu na kifo kama hofu hauna uwezi ogopa kifo je nani anakutia hofu ya kifo je hichp anachokutieni hofu alishawahi kukihishi je hofu ni nini na chanzo cha hofu ni nn .
Siku ukijua mambo kama hayo kifo kitamu sana ha ha ha ha haaaa utatamani ufe ha ha ha ha ahaaaa