Kisasi

Bill9

Member
Joined
Jul 21, 2019
Posts
39
Reaction score
119
Kisasi kilichobora kuliko vyote ni kutokulipa kisasi kabisa.
Ni kutokumfugia chuki wala hasira kwa sababu kwa kufanya hivo itakufanya uendelee kumfatilia na kuzidi kuumia.
Kisasi kizuri ni kuamua kuendelea na maisha yako hii itamfanya ashangae kumbe maisha yako bado yako happy baada ya kuachana

Ni rahisi kumlaumu mtu aliyekuumiza kwa sababu ni ngumu kuendelea mbele na maisha lkn hakuna faida katika kulaumu ,songa mbele
Mshukuru Hugo alokuumiza kwa sababu amekupa somo zuri kuelekea your destination, amekufanya umejua nin hupendi ,amekufanya umejua weakness yako na jinsi ya Ku improve.
Mpenzi wako akikuacha sababu huna hela usimnganganie tafuta hela ili ukimpata mwingine asikuache kwa tatzo lilelile
 
Ujumbe mzuri huu, hata kwa viongozi pia
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…