Ndomaana mnauliwa kama kuku kwenye nchi yenu...unazan mkristo angeua waislam vile pangekalika?Kisasi ni juu ya BWANA
Hapo msaada kwa aliyekufa ni kumzika tu.Acha umalaya ukiuawa hatutakusaidia
Ya kaisari mpeni kaisari... hapa YESU aliweka wazi siasa na dini hazipaswi kuunganishwa...Ndomaana mnauliwa kama kuku kwenye nchi yenu...unazan mkristo angeua waislam vile pangekalika?
Ndo maana halisi ya ufala na mtauliwa na kubakwa sanaYa kaisari mpeni kaisari... hapa YESU aliweka wazi siasa na dini hazipaswi kuunganishwa...
Ungewaambia wao sio mimi mkuuNdo maana halisi ya ufala na mtauliwa na kubakwa sana
Kipimo cha Upendo wa mtu kwa mwingine ni jinsi atakavyohandle usaliti.Ladies and Gentlemen
KISASI SIYO DHAMBI
Akikusaliti na wewe msaliti
Mmeo akizaa nje,na wewe tafuta mtu umpe zawad ya mtoto .
Mmeo/mkeo akikuzuia kushika simu yake ujue ana mchepuko .
Kwanini uugulie maumivu pekee yako na kukimbilia JF kuomba ushauri wakati unaijua sheria
KISASI SIYO DHAMBI
Mtu isipomfaa Akili yake, Utamdhuru Ujinga wake.Akikusaliti na wewe msaliti
Mmeo akizaa nje,na wewe tafuta mtu umpe zawad ya mtoto .
Akikununulia gari na wewe mnunulie gari...Akikusaliti na wewe msaliti
Mmeo akizaa nje,na wewe tafuta mtu umpe zawad ya mtoto
Unajua maana ya kisasi au umeshiba makande na uji ukaja kutypeAkikununulia gari na wewe mnunulie gari...
Akikufungulia biashara na wewe mfungulie biashara..
Kisasi juu ya kisasi tu, itadamshi vipi..
Zamu yako inakujaUngewaambia wao sio mimi mkuu
Sidhani.... Kwa neema ya YESU nitashinda.Zamu yako inakuja
Sijakupa mimba Mimi.. peleke huko Gubu lako shoooUnajua maana ya kisasi au umeshiba makande na uji ukaja kutype