Kisarawe inatoa huduma ya miche ya miti aina mbalimbali

Kisarawe inatoa huduma ya miche ya miti aina mbalimbali

Miti nipande mwenyewe ikifika muda wa kuvuna nikaombe kibali pengine ninyimwe
Pandeni mashambani mwenu wenyewe Mimi nitapanda mazao mengine sio miti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miti gani mkuu? mi ninayo mashamba zegero taja aina ya miti kama kuna kariptusi na mitiki ntakuja faster
 
Back
Top Bottom