Kisamvu kisamvu kisamvu

Heci

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
3,529
5,942
kisamvu-jpg.184349

Jipatie kisamvu lichotwangwa na kulainika kabisa huku kikiwa kimewekwa nakshi uzipendazo.

Tunatengeneza kisamvu kwa aina ya matwakwa yako.
Tupigie simu namba 0717/0767-45-44-55
Dar es Salaam Vegetables Market.

Kwa hingi wowote tutakufikishia ulipo kwa bei nafuu kabisa.
 
Kwa uzito wa nusu kilo huku kibamba utaniletea kwa bei gani?
Minimum uchukue cha cha shilingi elfu kumi.
Pia unaweza kuchukua kisamvu cha nusu kilo, kisha ukachukua na mboga mboga nyingine, minimum value ni 10'000/- hadi mlangoni kwako
 
Kwa jinsi kiswahili kilivyoharibiwa, nimefungua huu uzi kwa speed mawazo yalishawaza mambo mengine kabisa, anyway biashara njema mkuu.
 
Back
Top Bottom