Kisa kudate bila kondom kaniacha

Kisa kudate bila kondom kaniacha

Aliyeelewa naomba aninukuu anieleweshe...bado sijaelewa hii mada
 
🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶
 

Attachments

  • 1431460697267.jpg
    1431460697267.jpg
    22.6 KB · Views: 228
naona ni part one anakuja na part two aliona asizitoe zote kwa pamoja.
au na ww ni bongo movie. maana kwa ku hapia hawajambo
 
usedcountry….. umekosea kidgoo, inamana mtoto wangu ataniletea akijifunguaa, ila hawezi kuwa na mimi,
 
daaah TAMALISA ulipatiaa mtoto kumbe anatakaga maisha ya kudekezwa…. baada ya ku apologize toka juzi mtoto leoo katiki, nanukuuu…

NAKUPENDA SANA (JINA NALIHIFADHI) SIPENDI KUKUPOTEZAA HAYA NAOMBA NENDA KAZINI MME WANGU….
 
Habari wakuu,

Jamani naombeni msaada mpenzi wangu amepaniki sana kisa nimedate nae bila kondom anadai nimemharibia maisha na anadai ammeniacha na kama ni mtoto wangu atanitafuta.

Ni mpenzi wangu tuna miezi 6 sasahivi na amedaii atahama eneo analoishiii na amedaii amechoka kuumizwa mapenzi yanamuumiza sana
na anadai anataka kujiua huko aendako.

Jamani nisaidieni,
naombeni ushauri



Anakutisha tu huyo,hivi unadhani kujiua ni kazi ndogo? Kwanza wanaotaka kujiua hawasemagi
 
yaan ni kwamba wadau nimefanya mapenzi nae bila kutumia kinga kwahiyoo anadai kuwa tuachane mapenzi yanamuumiza, ila ni mtu wakukasirika sana kitu kidogo kanuna…. daah msaada wadau maana ananipenda saana kwaninavo mjuaa sa sijui kawaza nin jamaanii,
Naona anaipenda condom kuliko wewe, sijui unaonaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom