Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 951
- 412
Habari wakuu,
Jamani naombeni msaada mpenzi wangu amepaniki sana kisa nimedate nae bila kondom anadai nimemharibia maisha na anadai ammeniacha na kama ni mtoto wangu atanitafuta.
Ni mpenzi wangu tuna miezi 6 sasahivi na amedaii atahama eneo analoishiii na amedaii amechoka kuumizwa mapenzi yanamuumiza sana na anadai anataka kujiua huko aendako.
Jamani nisaidieni, naombeni ushauri