Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,709
- 23,144
Hii sio mimi ni mdogo angu alikuwa anasimamia nyumba zangu nazojenga siku hiyo walikuwa stage ya Linta wakachelewa kutengeneza box na nondo wakabugi wakakoroga zege kubwa ilibidi wakomae nalo mpaka saa nne usiku.
Yule dogo alivyotoka kusimamia site yangu si akapitia kwa demu wake akawa anarudi home saa 6 usiku si akapitia kwenye jumba akojoe bwana si akamkuta jirani yetu Kainamishwa na dereva bodaboda ambae huwa anamtumaga kila sehemu anamuitaga boda boda wangu.
Kwa maelezo yake anasema alisikia miguno akashawishika kwenda kuchungulia Mule chumbani ni watu wawili wameunganisha vikojoleo na mbaya zaidi anawajua, Dogo akaona aibu yeye ikabidi asepe sasa cha kushangaza baada ya siku tano dogo akaniambia bro leo nifuate site na gari kuna kitu hakipo sawa kumbe yule mama kakodi masela eti wamtishe dogo ndo akanielezea full mkanda mi ikabidi nimfuate yule mama kumkanya asirudie tena kutuma wahuni kwa mdogo angu kwa ujinga wake kumbe bwana wakati tunayazungumza hayo yule mama akajaa mihasira akaanza kuropoka kujitetea bwana kumbe mumewe alikuwa chumbani anasikia debate yetu si akaingilia huku ananitetea mimi kuwa mi sina kosa na huyo dogo bodaboda ameshafuma sms zake kwenye simu ya mkewe na leo Mungu kamletea ushahidi live home.
IN SHORT
nilivunja ndoa ya watu kifala sana ukoo wa mwanamke walinijia juu kuwa mimi sina busara najiona msafi nimeenda kumsemea mtu wa watu kwa mumewe kaachwa vilikaliwa vikao vingi mno including ndugu kutoka mikoani jina linalotajwa ni langu kuna muda nilijiona mkosefu kwa sababu baada ya mwaka mmoja na nusu nimekutana na yule mama kachoka vibaya najihisi nahusika kwenye kuchakaa kwake.
Siku wanafumwa mmewe alienda kwenye semina ya kikazi Mkoani yeye ni Mtumishi wa TRA