Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

Hii umekopi na kupaste katika movie moja hivi ya kichina. Hivi hivi umebadili tu majina ya maeneo. Sikumbuki ile movie inaitwaje ni ya comedy. Na nlijua lazima watakuja watu waanze kuuza chai humu. Movie ipo hivi hivi kila kitu. Kasoro majina na hiyo michezo wenyewe walitumia yule mtu anayekaa chini anajifanya kilema kumbe kakunja mguu pale kwenye goti kaweka kofia. The rest ni story hiyo hiyo mpaka kuvua sweta, kushuka kwa mbele kwenye daladala...kuja rudi kumchapa mapanga ya ubapa.kuchukua pochi n.k
Watu wafukunyuku,kaitoa huko majina kaweka ya Rock City, anyway tumeburudika.
 
Kuna kisa kiliwahi kunitokea huko nyuma ambacho kilinifanya nijutie kwa muda na kuacha funzo kila nitembeapo njiani nakuwa makini sana, naangalia mbele kuanzia mita 50 mpaka 100 kuona matukio gani yanaendelea.

Kuna siku nilikuwa nikitokea Temeke Kwa Azizi Ally shell ninaelekea Tandika kwa miguu niko na haraka sana siangalii mbele sana wala pembeni ninawaza mambo yangu.

Mara ghafla nikadakwa mkono huku nikiambiwa weeeh unakwenda wapi? Kumuangalia aliyenishika ni mwanamke ile namuangalia vizuri zaidi kumbe askari polisi tena wa kike amevaa sare kabisaaa .Dah!

Nikamwambia naelekea Tandika. Huku akiwa bado kanishikiria mkono wangu wa kushoto, akaendelea kunihoji unatokea wapi, nikamjibu natokea hapa hapa kwa Aziz Ally, wewe siyo muhuni? Nikamwambia hapana, haiwezekani wewe uko na wale unaenda kuwaambia wana kimbieni.

Kumbe mbele yangu kuna washikaji wamekamatwa wamefunganishwa mashati wapo kama 10 hivi, walikutwa kijiweni dizaini fulani hivi walifanya msala au wazurulaji. Nikasikia Afande muunganishe na huyu.

Alitokea askari wa kiume ndio akasema hapana huyu hausiki siyo mwenzao mwacheni. Niliachiwa nikaondoka kwa speed ya ajabu. Ningekuwa niko makini kuangalia mbele zaidi nisingejikuta nahisiwa ni muarifu

Kuanzia siku hiyo hadi leo sitembei bila kupepesa macho au kukaribiana na watu hovyo hovyo.
Jaribu kuwa smart acha uchafu, we ulifanana na hao masela waliokamatwa
 
Miaka 14 nyuma ndo nilikuwa najuta ila sasa nashukuru joto limeshuka kidogo.

Ilikuwa siku ya jumamosi mchana binamu yangu mdogo (sehemu kubwa ya maisha yangu hawa ndo wamenilea) akatuma ujumbe “dogo leo nitaenda kwenye sherehe jioni uje nyumbani kulinda nyumba”hii ilikuwa ni mazoea akipata dharura mimi naenda na huu mwaka ndo alikuwa ameowa so walikuwa wakitoka nyumba inabaki tupu ilikuwa nje ya mji Kimara huko so mimi saa kumi kumi nikatoka zangu Mabibo kuelekea,kufika 18:00 jioni nao wakaondoka kumbe mule ndani yupo h/girl ameletwa kumsaidia mkewe jamaa pindi atakapojifungua.

Nikazuga zuga nje moja moja hivi nikaingia ndani,nje hakukaliki mbu pia usalama mdogo so nikaenda kukaa sebuleni nachat na demu wangu (na ndiye mke wangu sasa,nilikuwaga na kisimu changu Nokia kipindi hiko) tukawa tunatumiana sms za kijinga jinga ooh nimeku-miss sijui ukiwa uchi ooh natamani saizi ningekuwa nimelala kwenye kifua chako na blah blah blahs nyiingi kama mnavyojua tena uanaume kichwa cha chini mawimbi yakasoma so kadiri mule ndani anavyopita pita yule bint nikawa napiga hesabu zangu kichwani.

Nikainuka nikajifanya kwenda kumsaidia kazi jikoni ili nimzoee na nimuone vizuri nikakuta ni wa kawaida sana,sura ngumu body yenyewe ya kuazima nikaghairi nikarudi kukaa ile kusoma tena sms za demu wangu nikajikuta namuona huyu mbona mzuri tu japo kwa siku mojaa!muda wa kula nikaingiza vocal ahadi nyiingi mara nitakuowa akaniambia mimi hapa sikuja kuolewa nimekuja mara moja tu dada kaniambia nije nimsaidie rafiki yake akijifungua(mke wa binamu)na kwamba anasubiri kuendelea na kidato cha tano na sita.

To cut a long story nilikuja ku-force usiku kabla ya saa sita tena kwenye corridor maana nilijisemea kwa vyovyote huyu atanisemea kwa boss zake wakirudi ngoja nijipoze hata ikitokea akasema lawama ziwe na sababu,ujinga zaidi niliiloweka mbichi dk mbili sijui tatu zile mixer kung’atwa nikasikia chwaa chwaaa chwaaaaa nikaachia akaondoka zake chumbani kwake kujifungia huku analia hata nilipomgongea kwamba nataka nimuombe msamaha lengo nimuweke tena akagoma,asubuhi kulivyokucha nikamuona alivyo nikawa natafuta sababu ipi hasa ilinifanya nimtake huyu?halafu nikawa namkunjia sura ile kihuni kwamba mimi siyo wa mchezo mchezo....wee nilijuta!!!miezi mitatu mbele nikaitwa Kimara kusema nilichomfanya mwanafunzi ikawa sasa siyo house girl tena,kufika naambiwa ana mimba nilitamani ardhi ipasuke case ameishikilia dada yake mwanasheria aliyesoma na mke wa binamu.

At age 22 kunikuta Ustawi wa Jamii nahudhuria kesi sijatoa matunzo ya mtoto ilikuwa kawaida sana kuna siku nimefika pale nikakuta waliokuwa hawajanizoea wakadhani nimekuja kushtaki wazazi wamekataa kunitunza niliposema kilichonipeleka wakaninyanyapaa sana,hii issue ilinichanganya maana dada mtu alikuwa anatia pressure nimetia mwanafunzi mimba na kwamba anaweza kunifunga wakati wowote matumizi yakilega lega na usawa wenyewe ulikuwa mbovu na binamu yangu akaniambia ameomba kesi isifike polisi akijifungua atamsomesha chochote atakachokita mimi nikomae na malezi zaidi ya hapo hana msaada mwengine.

Kuna siku nililetewa barua za wito tatu mfululizo kutoka Ustawi wa Jamii hiyo ya tatu aliyeniletea (nilikuwa nakimbia kimbia situlii sehemu moja kwa kuogopa kukamatwa) alinikuta katikati ya zebra crossing navuka upande wa pili akanikabidhi cheti na vitisho juu kwamba safari hii nikichomoka sitapata kiboko kama hiyo aisee sikuweza kuhimili nilikaa katikati ya barabara nikapiga ”Uuuwiiiiii” huku machozi yakinitoka shukuru hakukuwa na gari karibu wakaja watu kunitoa naburuzwa miguu haina nguvu wakaniuliza unaumwa nikadanganya nasumbuliwa na tumbo.

Ila sasa dogo amekua nikimuona nafarijika sana mama yake nae alisomeshwa nursing na ameshaolewa huko ila huu msoto sitakaa niusahau.
***** eti uwiiii
 
Tulichapwa bakora siku ya kumaliza necta form six

Siku hiyo sitosahau nilikula mijeledi kama yesu msalabani bila kosa ndo nikaamini sio kila anayeenda jela ana makosa

Ilikua hivi Nakumbuka ilikua Alhamisi ile tunamalizia mtihani wa mwisho msimamizi akatuambia mkimaliza mtihani muende uwanjani msiondoke kwanza tukasema poa, tulikua tunahisi sijui walimu wanakuja kutupongeza basi tukapiga pepa pale mpaka muda tunaambiwa pens down watu wakaanza kuvunja ruler wanatupa peni wengine wanachana mashati wanachana suruali kwa furaha ya kumaliza

Mimi sikupanga kuchana ila kuna jamaa tulikua tunamuita Mjita(mtu wa ukerewe)alikua amekaa nyuma yangu akachukua kiwembe akaanza kuchana shati langu mgongoni
Nilimuacha achane tu kwani halina kazi tena (Najuta kumuacha achane lile shati)

Basi msimamizi akakusanya mitihani na kuondoka zake lile darasa nililokuwepo watu hawakuchana sana uniform nilishangaa nilichokiona baada ya kutoka nje kuna darasa lingine hao walichana nguo sio poa unaweza sema ni machizi wameachiliwa kifungoni kila mtu kachana anavyojua basi(kumbuka mjita alichana shati langu mgongoni)

Basi tukakusanyika uwanjani kama tulivyoambiwa tunashangaa tunaambiwa tukae chini na wale mapolisi waliokuwa wanasimamia mitihani tukawa tunajiuliza nini kina endelea

Kumbe Jana yake kuna baadhi yaform six walichana magodoro na mashuka ya form five na hiyo taarifa ikamfikia mkuu wa shule ndo akawaambia wale form five waandike majina ya watu wanaowahisi kufanya hicho kitendo na majina yalipelekwa kwa mwalimu mkuu ndo akawaambia polisi hawa vijana wakimaliza mtihani kuna haya majina shughulika nayo hiyo ndo ilikua sababu ya kuitwa pale uwanjani

Basi Yale majina yakaitwa wakasimamishwa pembeni alafu yule afande akasema mbona naona watu wamechana uniform..dah akasema wote waliochana uniform na nyie simameni jiungeni na hawa waliochana mashuka maskinii mjita aliniponza na Mimi nikajumuishwa Kwenye msala.tulikua kama 25 hivi tukaambiwa pangeni mstari mmoja kuelekea ofisini.wale ambao hawakuchana uniform zao waliruhusiwa waondoke sisi tukabaki
Polisi akaanza kusema nyie ndo wahuni eeh basi tutaonyeshana uhuni niliogopa sana

Tukapelekwa mpaka assembly ground tukaanza kupigishwa kwata na wale mapolisi dah Mara headmaster akaja akasema Leo nawachapa nawaaga kwa kuwachapa dah niliona kama ndoto hivi nachapwa siku ya kumaliza Necta Moyoni mwangu naendelea kumlaumu mjita kwa kuniponza,tulijitetea kwamba sisi hatuhusiki na kuchana mashuka sisi tumechana nguo zetu tu majina yao si yapo hapo sisi hatuhusiki ila wale polisi hawakutaka kuelewa wakaona ni wale wale tu wachanaji magodoro na wachanaji uniform

Basi headmaster akaagiza mzigo wa fimbo ukaletwa akaanza kutupelekea moto afu anachapa fimbo za mgongoni na kiunoni lazima akuachie alama kama sio Kukutoa damu.dah tulipelekewa moto sana kwa bahati nzuri na mjita nae alichana nguo Kwahyo tulikua wote tunasulubiwa (ningeumia sana kama mjita asingekuwepo) basi nikiona mjita anakula mijeledi na Mimi nafarijika

Kumbuka hapo tushamaliza mtihani wa necta wale wasimamizi ndo wa nasubiri lile gari linalozunguka kusambaza na kufuata mitihani mashuleni lije kuwafuata kwahyo hapo pona yetu ni mpaka lile gari lifike dah basi headmaster akaendelea kutupiga mijeledi na walimu wengine wakaunga tela tulichakazwa haswaa alama kibao mgongoni na kiunoni mpaka lile gari linafika tulikua tupo juu ya Mawe(lawama zote ziende kwa mjita)

Tulikubali kusulubiwa japokua tulikua tumemaliza necta tungeweza kugoma kuchwapwa lakini hatukuwa na jeuri hiyo kwa sababu polisi walikuwepo dah Kwahyo ukigoma tu polisi wanakuchezeshea mikwaju na unaenda kulala kituoni dah ikabidi tuache tu headmaster atupelekee moto chini ya uangalizi wa polisi,baada ya kipindi cha muda mrefu hatimae gari la kukusanya mitihani likafika ndo wale polisi wakaondoka na headmaster akatuacha ila hakutucha hivi hivi aliandika majina yetu ili siku ya kuja kuchukua result slip tulipe magodoro dah ilikua siku ya kihistoria Magodoro sikuchana,nguo sikuchana kwa mikono yangu,na mijeledi nimesulubiwa

Mjita popote ulipo mataccor yakooo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila si tulipigwa wote braza,,,nipo huku ukerewe Kama vp njoo unipige
 
Unajua humu tunakutana watu wenye uzoefu mbalimbali...unaweza ukaongea kitu ukidhani watu hawafahamu kumbe wanafahamu... Jamaa ameniacha hoi sana. Hakutegemea kabisa....
Watu wafukunyuku,kaitoa huko majina kaweka ya Rock City, anyway tumeburudika.
Ju
 
Majuto mengine yanatokana na tamaa. Sielewi hata ile akili tuliitoa wapi, Ila mm na mwanangu Shedrack tulipanga tuibe nguruwe wa shule tukauze. Kipindi hicho tupo O level, kwenye shule ya kanisa (seminary).

Ili issue iende kirahisi, tukaona ni heri kuiba vinguruwe vitoto, kuliko wale wakubwa. Tulichora radar yetu vizuri, Ila kimbembe ilikua kuwakamata maana ziti kidogo lilikua Pana, alafu Lina partitions ambazo zinatuzuia tusikimbie vizuri.

Vile vinguruwe ma'amae vilitupeleka mchaka mchaka, maana tulikuwa hatutaki kuvikamia, visije kupiga kelele. Mpaka tunavidaka, tayari nlikuwa na hasira maana nilianguka zizini kama mara mbili.

Tutakota vizuri mle zizini, kila mmoja akiwa kambana nguruwe wake vizuri ili asitoe kelele, japo vilikuwa vinagugumia kwa sauti ambayo inakera. Kumbe Kuna Sister alishtukia mchezo, Ila either hakua na uhakika na alichoona au aliamua kuwa mpole maana alijua angetumia papara tungemzidi mbio alaf asingekutujua maana ilikua jioni.

Shadrak ndo alikua wa kwanza kumgundua sister kua anakuja uelekeo tuliokuwa tumejibanza. Sister baada ya kuona kimya kimezidi, akawa anaondoka, naona alihisi hisia zake hazikua sahihi. Wakati ashapiga hatua kama 5,kale kanguruwe nilikokashika kakaanza kupiga kelele ng'wiii ng'wii ng'wiii, nikakabana zaidi, nako kakaongeza nongwa ng'wiii ng'wii ng'wiii.

Sister akaanza kurudi huku akisema tusimame, vinguruwe ndo kwanza vinakazana ng'wiii ng'wii ng'wiii. Tukaanza kukimbia huku tumeinama, namwambia Shadrak tuviachie tuamshe, jamaa akakataa.

Tukaishia zetu kwenye kimsitu, Sister akabaki anatuangalia kwa mbali tu, vinguruwe navyo viko busy ng'wiii ng'wii ng'wiii.

Tukavifikisha tulipokua tunavipeleka, then tukarudi. Kurudi shule tukakuta wengine walishahesabiwa na kukaguliwa. Na ishajulikana ambao hatukuwepo, Sister alishanitambua mm kutokana na mzula niliokua nimevaa ( ule mkoa unabaridi), Shadrak alijulikana baada ya roll call ya ghafla kipindi hatupo.

Tuliitwa ofisini. Sister akaongea na sisi kitafiki kabisa kwamba tulichofanya sio kitendo Cha kistaarabu. Na akatuomba tukaoneshe tulipowapeleka kabla Sister mkuu hajarudi, alafu ikawa msala zaidi. Kinyonge ikabidi tuwapeleke. Vinguruwe vikarudishwa, sisi tukaendelea na vipindi class. Ila baada ya siku mbili tukaitwa Tena ofisini, nashangaa kumuona mshua pale.

Then akabidhiwa barua ya mm kufukuzwa shule. Shadrak nae alitimuliwa. Safari ya kutoka shule mpaka tunafika home ilikua chungu Sana kwa upande wangu, maana kwanza ni ndefu kinyama, lakini mshua hakuninunulia chochote Cha kula mpaka tunafika home, maji ya kunywa niliyapata kwavile ndani ya bus waligawa.

Kilichofata baada ya kufika home, nilikielezea humu kwenye ile story ya maisha yangu.
Aiseh yani apo ndo unajkta unajutia kitu afu bado hjakikamlisha
 
Napamban ila wap.saiv Sina confidence Kwa wadada nikiwa alone Ngoma inasimama kama ukuni ila nikiwa Dem Ngoma inagoma *****
Nyeto sio sababu mkuu tatizo ni kuhamisha hisia na kupoteza kujiamini, mimi nilikua mtu pisi sana tena sanaa na yeto napiga na show nafanya ya maana,
Kuwahi kukojoa kwa mwanaume sio tatizo wengi wetu hawajui kisa matangazo ya wauza dawa ndio yanatuzingua,
Unaeza kuwahi ukajipa dk kadhaa ukaendelea kama pumzi imekata au km nguvu zipo unaunganisha,
Huna tatizo mkuu ni wewe kucheza na hisia zako tu.
Pia nakushauri umtafute demu anaekuelewa mwelezee ukweli kua uko na shida ya kutojiamini sababu ya kupiga nyeto sana unataka kuacha so akuvumilie urudi kwa ubora wako hata ikitokea ukefeli hutajiskia vibaya atakufikiriaje bali atakua anakufariji mwisho unajikuta unajiamini unakua kamili.
 
Miaka 14 nyuma ndo nilikuwa najuta ila sasa nashukuru joto limeshuka kidogo.

Ilikuwa siku ya jumamosi mchana binamu yangu mdogo (sehemu kubwa ya maisha yangu hawa ndo wamenilea) akatuma ujumbe “dogo leo nitaenda kwenye sherehe jioni uje nyumbani kulinda nyumba”hii ilikuwa ni mazoea akipata dharura mimi naenda na huu mwaka ndo alikuwa ameowa so walikuwa wakitoka nyumba inabaki tupu ilikuwa nje ya mji Kimara huko so mimi saa kumi kumi nikatoka zangu Mabibo kuelekea,kufika 18:00 jioni nao wakaondoka kumbe mule ndani yupo h/girl ameletwa kumsaidia mkewe jamaa pindi atakapojifungua.

Nikazuga zuga nje moja moja hivi nikaingia ndani,nje hakukaliki mbu pia usalama mdogo so nikaenda kukaa sebuleni nachat na demu wangu (na ndiye mke wangu sasa,nilikuwaga na kisimu changu Nokia kipindi hiko) tukawa tunatumiana sms za kijinga jinga ooh nimeku-miss sijui ukiwa uchi ooh natamani saizi ningekuwa nimelala kwenye kifua chako na blah blah blahs nyiingi kama mnavyojua tena uanaume kichwa cha chini mawimbi yakasoma so kadiri mule ndani anavyopita pita yule bint nikawa napiga hesabu zangu kichwani.

Nikainuka nikajifanya kwenda kumsaidia kazi jikoni ili nimzoee na nimuone vizuri nikakuta ni wa kawaida sana,sura ngumu body yenyewe ya kuazima nikaghairi nikarudi kukaa ile kusoma tena sms za demu wangu nikajikuta namuona huyu mbona mzuri tu japo kwa siku mojaa!muda wa kula nikaingiza vocal ahadi nyiingi mara nitakuowa akaniambia mimi hapa sikuja kuolewa nimekuja mara moja tu dada kaniambia nije nimsaidie rafiki yake akijifungua(mke wa binamu)na kwamba anasubiri kuendelea na kidato cha tano na sita.

To cut a long story nilikuja ku-force usiku kabla ya saa sita tena kwenye corridor maana nilijisemea kwa vyovyote huyu atanisemea kwa boss zake wakirudi ngoja nijipoze hata ikitokea akasema lawama ziwe na sababu,ujinga zaidi niliiloweka mbichi dk mbili sijui tatu zile mixer kung’atwa nikasikia chwaa chwaaa chwaaaaa nikaachia akaondoka zake chumbani kwake kujifungia huku analia hata nilipomgongea kwamba nataka nimuombe msamaha lengo nimuweke tena akagoma,asubuhi kulivyokucha nikamuona alivyo nikawa natafuta sababu ipi hasa ilinifanya nimtake huyu?halafu nikawa namkunjia sura ile kihuni kwamba mimi siyo wa mchezo mchezo....wee nilijuta!!!miezi mitatu mbele nikaitwa Kimara kusema nilichomfanya mwanafunzi ikawa sasa siyo house girl tena,kufika naambiwa ana mimba nilitamani ardhi ipasuke case ameishikilia dada yake mwanasheria aliyesoma na mke wa binamu.

At age 22 kunikuta Ustawi wa Jamii nahudhuria kesi sijatoa matunzo ya mtoto ilikuwa kawaida sana kuna siku nimefika pale nikakuta waliokuwa hawajanizoea wakadhani nimekuja kushtaki wazazi wamekataa kunitunza niliposema kilichonipeleka wakaninyanyapaa sana,hii issue ilinichanganya maana dada mtu alikuwa anatia pressure nimetia mwanafunzi mimba na kwamba anaweza kunifunga wakati wowote matumizi yakilega lega na usawa wenyewe ulikuwa mbovu na binamu yangu akaniambia ameomba kesi isifike polisi akijifungua atamsomesha chochote atakachokita mimi nikomae na malezi zaidi ya hapo hana msaada mwengine.

Kuna siku nililetewa barua za wito tatu mfululizo kutoka Ustawi wa Jamii hiyo ya tatu aliyeniletea (nilikuwa nakimbia kimbia situlii sehemu moja kwa kuogopa kukamatwa) alinikuta katikati ya zebra crossing navuka upande wa pili akanikabidhi cheti na vitisho juu kwamba safari hii nikichomoka sitapata kiboko kama hiyo aisee sikuweza kuhimili nilikaa katikati ya barabara nikapiga ”Uuuwiiiiii” huku machozi yakinitoka shukuru hakukuwa na gari karibu wakaja watu kunitoa naburuzwa miguu haina nguvu wakaniuliza unaumwa nikadanganya nasumbuliwa na tumbo.

Ila sasa dogo amekua nikimuona nafarijika sana mama yake nae alisomeshwa nursing na ameshaolewa huko ila huu msoto sitakaa niusahau.
Funzo: usifanye maamuzi ukiwa na nyege
 
[emoji23][emoji23][emoji23] bao la sekunde mbili, madhara yake sasa...
 
Mimi nakumbuka kipindi nasoma darasa la tano na Dada yangu alikuwa kidato cha kwanza .siku moja Dada alitutoroka ndani akaenda kulala kwa mwanaume asubui saa 12 akarudi huku mzee hajui basi pale mimi so nikamsemelea kwa mzee aisee mzee alimtandika sister hadi akazimia Baadae akafufuka , kumbe Dada alikuwa na mimba kidogo Sasa kutoka na kipigo ile mimba ikaharibika Akapelekwa hospital daah aisee Dada akafariki hilo naumia hadi leo bora nisinge sema na Baba nae akafungwa Jela miak 9 bahati zuri alotolewa kwa msamaha wa Rais.
 
Aisee wewe kujisamehe hili suala ni ngumu sanaa pole sana mkuu... daah ulimi huu hatari sana
 
Back
Top Bottom