Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

Aaah kwa hiyo ulitegemea mkeo aupende mchepuko wako? Yaani ni kama unamsimanga marehemu mkeo kwamba mwanamke aliyemchukia ndiyo amekuwa mwema kwa watoto wake leo; una-justify kila ujinga na unyama ulioufanya kwa marehemu mkeo na ndoa yenu. Yaani ulikuwa na mkeo wa ndoa; ila hadi watoto ulikuwa unawatuma kwa mchepuko??? Huyo mkeo wa sasa hivi; hata awe mwema kiasi gani haibadili ukweli kwamba wakati mkeo yupo hai; wewe na huyo mchepuko wako ndiyo mlivunja ndoa yenu kwa uzinzi, na mlimsababishia marehemu mkeo mateso, maumivu na stress. Na usikute yeye ndiyo alichangia hata kumrudisha marehemu mkeo kwao. Mtubu, yasiye yakawarudi na ninyi

So na sasa hivi una faida nyingine pembeni (mchepuko?). UMENISHANGAZA, UMENISIKITISHA....... Anyway, to each his own.

Mwanzo nilimuonea huruma nilivyosoma chini nimejikuta nakwazika.

Yaani kuna wanaume hawana huruma hivi mtu unaanzaje kumpenda mchepuko wa Mr.?
 
Nilikua na mpenzi wangu tulipendana sana ila aliniboa siku 1 tukazinguana sana hasa mimi nilikasirka kupita maelezo,nikakaa baadae halmashauri yangu ya kichwa ikaniambia "huyu demu ni malaya muache"

basi nikawa namtafutia sababu nimuache,kuna siku nimekaa mahali nikaona anapita na mwanaume wanatembea mdogo mdogo kuelekea kwao,mimi nikainuka nikaunga tela kwanyuma nione wanaelekea wapi na watapitia wapi.

Basi wakaingia uchochoro flani kagiza kalikua kameingia wakasimama wakawa wanaagana kwa kuongea tu ila maongezi hayaishi,mimi uvumilivu wakufata nyuma kwa kujificha ficha ili wasinione kama bodyguard ukanishinda,Nikatokea Paap kama mzimu.

nikamwambia kwanza yule jamaa,Oya sepaaa Jamaa akaniogopa kweli akasepaa,nikabaki na dem,kwakua tulikua tumegombana akawa ananijibu shit,namuuliza huyu NANI ananiambia "haikuhusu" asee nilimzabua zabua,pga makofi.

Nikampokonya simu ili niende ikagua,nikamwambia leo kila mwanaume wako humu naenda kumuua,ngoja nikawatafute. Hapo nishampiga sanaaa.Huyoo nikasepa na simu yake.

Kufika home simu haikua na password, (haya ma pattern ma password yameanza kutumika hivi karbuni tu) zamani watu wengi simu hazkua na password.

Nikaanza kupekua, kweli mtoto wa kike kutongozwa n kawaida sana, basi nikakuta chatting za wanaume wakimtongoza,ila na yeye alikua akiwakataa tena kwa kuwambia ana mpenzi wake anampenda sana na akawa anawatajia jina kabisa.

Jina ni langu Movies Store convo ya kwanza,nikatoka nikaingia ya pili nikakuta mwingine dem msimamo n ule ule hata atokeee mwanaume gani chni ya jua hawezi muachanisha na Movies Store.

nikaingia na nyingine na nyingine,kuna moja ikanimaliza kabisa n msg ya Asubuhi tu,ya siku hyo nlompokonya simu, Alikua anachat na dada ake sijui rafiki anamwambia leo inaenda wiki Movies Store hatuongei tumegombana,nateseka mwenzako sijui nafanyaje jaman, Rafki ake huyo anamwambia usijali mtakua sawa Tu kesho nitakusaidia kuongea nae, Dem akamshukuru sio kawaida.

Nikaanza kujutia kwann nilimpga mtoto wa watu kumbe ananipenda hvyo,Basi nikaendelea ku search nikaingia sehemu ya NOTEBOOK ya simu nikakuta malengo yake kwangu,jamani dada alinipenda yule sio kwa niliyoyakuta. Plan zake za kuja nifanyia kitu kwenye birthday yangu ya huo mwaka,mambo ni mengi mengi.

Nilijiona mkosaji mkubwa nikifkiria kpgo nlichomshushia yule mpenzi wangu,wakati naendelea pekua pekua simu yake ikaita nikapokea kumbe ni yeye kapga, akaniambia Movies Store baki na hiyo simu milele siitaki tena wala sitaki kukuona na wewe.

Niliomba msamaha wa kila aina ila ndio tayari nilimpoteza yule dada kwao n mwanza nataman siku 1 nirudi mwanza nikamtafute walau nimsalimie nimuone tena. Nikikuta kaolewa sawa tuu ila kama n urofa maishani niliowahi ufanya ni kumpoteza yule binti kwa sababu zangu za kijinga jingaaaa.

Tangu na hiyo siku nikiwa na mpenzi wangu Hata asimame na mwanaume nitakaa pembeni waongee wamalize,sishiki simu yake,naheshimu watu anao wasiliana nao ki ufupi mpenzi wangu hata nikute kabebwa mgongoni na mwanaume mwingine mimi sitosema kitu,nitanyamaza ntamwambia "baby naomba twende nyumbani muda wa kucheza umeisha"
 
Pole sana , usisahau binti akipenda basi kapenda kweli.
 
"Baby naomba twende nyumbani muda wa kucheza umeisha"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu mna visa aisee. Baby muda wa kucheza umeisha twende nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio kisa nachojutia, ila ni kisa kilichonifedhehesha kiasi.

Kulikuwa na house warming party moja ya mshkaji tuko naye kazini. Ile party nilifika jioni hivi, so wengine walishachangamka since walianza mapema kidogo. Kwenye party, kuna manzi wawili nilikuwa na ukaribu nao kuanzia kazini mpaka kitaa, na wote walikuwa wananielewa kiaina. Binafsi sikuwa na mpango wowote wa kuendeleza chochote zaidi ya ushkaji tu. Sasa ukijumlisha wale manzi walikuwa washatupia vitu, ilikuwa usumbufu ku-deal nao. Ule usiku nili-manage ukapita bila issue ya kushtua sana. Noma ilikuwa siku iliyofuata kazini. Nilikuta video zimesambaa kutoka kwenye ile party na zilionekana vibaya kichizi upande wangu. One of the chicks was grinding on me kwenye kucheza, na mimi nilikuwa nimeegemea gari tu mkono mmoja umeshika kinywaji na mwingine najaribu kumzuia yule manzi asidondoke since yuko maji kiaina. Ule mkono unaomzuia yule manzi ulikuwa kifuani kwake kulingana na vimo vyetu, so kwenye video inaonekana kama nashika nyonyo (thirsty af). Ilikuwa ngumu sana kujielezea sababu hata mwenyewe zile video zilionekana vibaya. So basically I was violated, but it looked like I was the violator. Ni mimi tu na yule manzi ndio tunajua ukweli wa nini kilitokea, but agenda had to agend.

Kisa kingine ni my homeboy was Will Smith'in on steroids, na kama mshkaji ikabidi nimuonyeshe alipokuwa anazingua. Fala alipewa rimjob sijui na manzi yake, akafunguka yote niliyomwambia achunguze kuhusu huyo manzi. Kilichotokea ni story for another day. Ila short story long, niliapa kutoingilia mahusiano ya mtu yoyote kwa namna yoyote kamwe. I told all my homeboys hata nikiwakuta manzi wao kwenye orgy, I'ma tight grill and mind my own business.
 
Alikuwa mchepuko hii ndo faida ya kuwa na mchepuko pindi inapotokea km hivi huwa wanasaidia sn huyu mchepuko alikuwa anajua wanangu kitambo hata watoto nilikuwa nawatuma kwake
duh!Mkuu,yaani kwamba wakati unatafta mchepuko uliweka akilini wazo kuwa huyo mchepuko atakusaidia pindi mkeo atakapofariki,kwahiyo ulikua nae kama akiba ya siku mkeo atapofariki .Kwahiyo hilo wazo lako subconscious mind ikabaki ikilichakata kiroho na hatimae natural power ikatafta sababu ya wewe na marehemu kugombana ili ukamilishiwe kile ulichopanda akilini ktk ulimwengu wa kimwili,na kweli ikatokea.Thats why unaona huyu mchepu eti ni faida,kwahyo hauna maumivu na kilichotokea.Dah!Mkuu uliua kwa natural power,ama nawazaje ati !!!? Nimeshtuka eti 'hii ndio faida ya michepuko.'khaaaa!
 
Sio kisa nachojutia, ila ni kisa kilichonifedhehesha kiasi.

Kulikuwa na house warming party moja ya mshkaji tuko naye kazini. Ile party nilifika jioni hivi, so wengine walishachangamka since walianza mapema kidogo. Kwenye party, kuna manzi wawili nilikuwa na ukaribu nao kuanzia kazini mpaka kitaa, na wote walikuwa wananielewa kiaina. Binafsi sikuwa na mpango wowote wa kuendeleza chochote zaidi ya ushkaji tu. Sasa ukijumlisha wale manzi walikuwa washatupia vitu, ilikuwa usumbufu ku-deal nao. Ule usiku nili-manage ukapita bila issue ya kushtua sana. Noma ilikuwa siku iliyofuata kazini. Nilikuta video zimesambaa kutoka kwenye ile party na zilionekana vibaya kichizi upande wangu. One of the chicks was grinding on me kwenye kucheza, na mimi nilikuwa nimeegemea gari tu mkono mmoja umeshika kinywaji na mwingine najaribu kumzuia yule manzi asidondoke since yuko maji kiaina. Ule mkono unaomzuia yule manzi ulikuwa kifuani kwake kulingana na vimo vyetu, so kwenye video inaonekana kama nashika nyonyo (thirsty af). Ilikuwa ngumu sana kujielezea sababu hata mwenyewe zile video zilionekana vibaya. So basically I was violated, but it looked like I was the violator. Ni mimi tu na yule manzi ndio tunajua ukweli wa nini kilitokea, but agenda had to agend.

Kisa kingine ni my homeboy was Will Smith'in on steroids, na kama mshkaji ikabidi nimuonyeshe alipokuwa anazingua. Fala alipewa rimjob sijui na manzi yake, akafunguka yote niliyomwambia achunguze kuhusu huyo manzi. Kilichotokea ni story for another day. Ila short story long, niliapa kutoingilia mahusiano ya mtu yoyote kwa namna yoyote kamwe. I told all my homeboys hata nikiwakuta manzi wao kwenye orgy, I'ma tight grill and mind my own business.
Pole sana
 
JKT

Katika harakati za kutafuta Ugali nilijikuta nimeomba kujiunga na jeshi la JKT. Nikatupiwa Kigoma, kule Bulombora 821KJ.

Nikapigishwa jaramba na kulishwa vumbi huku nikitazama ziwa Tanganyika kwa ukaribu kabisa lililozungukwa na mawese ya kutosha. Ruka Juu, Kanyaga Chini kwa nguvu mpaka mguu utoke nje ya kiatu.

Mikesha ilivyozidi nikaona hapa nitakufa. Nikaanza harakati za kutafuta nafasi ya kulala vizuri maana zile Dakika 5 unazopewa za kulala hazitoshi kabisa. Nikaanza kutafuta machimbo. Wenzangu wakienda mkesha, mimi najipeleka porini. Siku nyingine nakutana na ma afande na wao wamedoji kwenda lindo wananitimua najikuta nimerudi kulala uvunguni.

Tabia yangu ya kujizoesha kulala ikaanza kunigharimu. Ikafika mahali nikawa siwezi kabisa kwenda kukesha hata siku moja. Nikaanza kuona hadi uvivu wa kwenda kulala mbali na anga letu. Nakumbuka nilikua Eagle Coy.

Siku hiyo nimelala uvunguni nakoroma kabisa, saa ngapi afande asiingie ndani kutafuta watoro. Si akaniskia navyokoroma kule chini ya kitanda. Dah sitasahau hiyo kipigo niliyopewa. Nakumbuka al manusura nipoteze jicho. Maana vile vitanda vimechomelewa kwaiyo kuna kama vichuma flani hivi kama nondo vimejitokeza kwa juu, alinibamiza kichwa kwenye kile kitanda ile nondo ikachubua kidogo pembeni ya jicho.

Sijui nilipata wapi ujasiri nikamsukuma pembeni nikasogeza kioo cha dirisha nikarukia nje nikaanza kukimbia huku nachechemea machozi yananitoka ya kutosha. Jamaa nadhani aliniangalia navyokimbia kwa tabu akanionea huruma akaamua kuachana na mimi huku akisema "Nitakuua Mbwa Wewe".

Nilivyofika walipo wenzangu kwenye mkesha nikapokelewa tena na adhabu za kubiringita na kukwepa ndege za kivita. Dah.. nilihisi mwisho wangu umefika, nikasema kwa sauti "Nakufa" huku machozi yanatoka ili hata jamaa anionee huruma lakini wapi. Yeye kakazana kunioshea na kunifanya mfano kwa wengine. Saiyo pumzi imekata, maumivu kila mahali, machozi yameshatoka mpaka yamekauka, siwezi kuongea tena. Ni kwa Neema za Allah pekee nilifanikiwa kuona tena Jua siku iliyofuata maana nilikua nahisi kabisa nakufa. Hali yangu ilikua mbaya sana!

Sikuwahi kujuta kwenye maisha yangu kama hiyo siku. Nililaani uamuzi wangu wa kwenda huko. Kile kitu kilinikaa sana moyoni kwa muda mrefu. Niliona kabisa huku sio kwangu. Course ilivyoisha, wakati wengine wanasikilizia kwenda JWTZ na Polisi, mimi nikaandaa nauli yangu, nikavizia ule muda tunaotumwa kwenda town...nikatorokea huko mazima na nikaapa sitarudi tena. Ikawa imeisha hiyo!

Kwa kweli mambo ya Jeshi yana watu wake. I was not one of them!
Koplo ambari angekuua wewe najua hawezi kua mteule Ngutanyi

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Usiku mmoja nikiwa katika harakati za kutafuta elimu nipo mikoa ya watu shuleni kwetu dinning Hall ilikua pia inakodishwa kwa ajili ya shughuli nyingine za kijamii kama harusi na send off.
Hio siku prepo haikuepo kwa kua kulkua na shereh dinning mimi na wanangu wachache wahuni tukapanga tuvamie sherehe Ile ilosifika kua ya watoto wa matajiri wa mji ule.
Nikatoka general wa vita kwenda kutazama ulinzi na usalama na kuandaa plan ya kuzamia..kufika eneo la tukio nkascan haraka nkaona dress code suti nyeus na tai kwa wanaume uzur na shuleni ni maeneo ya baridi tulkua tunavaa suti pia.
Wanaume tukabadilika tukafika eneo la tukio mimi nkatokea kwenye parking kulkua na discovery imepaki nafika getini mlinzi wa getini ni jamaa wa mtaani ambae ananijuaga mm ni dent miyeyusho spend shule (huyu jamaa alkua anauza viatu raba nlkua naenda kuchukua za kwendea club usiku) wenzngu walifanikiwa kupenya mm ikashindikana
Kufika mishale ya saa 4 kwendea 5 akatoka dada mmoja mrembo tu akawa anaongea na simu (nafikiri alipigiwa na mmewe akitakiwa nyumban) nkamfata akanpa kadi akawasha gari yake akaondoka

Nkarudi getini tena yule jamaa anataka kunsukumizia mabaunsa nkatoa kadi akawa ananiangalia kwa kuntaman. Mwanaume nikazama ndani na kukuta wenzngu washapata na wachumba nkachagua angle moja nzuri ya nkatulia muda ukakatika mziki tukacheza na misosi tukala sana

Sasa kuna ule utaratb wa watu kukusanya vinywaji na makulaji na kufunga ili kwenda navyo majumban basi mwshon kabisa mwa shughul nikaona package kubwa ipo inazagaa zagaaa (sjui roho gan ikaniingia inanambia unaacha vinono ivo kesho utakinga ugal maharage nikajikuta nasogelea ule mzgo) katika malez yangu mm kitu sijawezaga ni kuchukua cha mtu basi nikachukua kile kifurushi aisee Ile nageuka nilipigwa mibanzi (yule mzee hatar anapiga mibanz kama sokwe) nkabak nimekua mdgo kusema nmuanzshie vagi yule mzee ningeweza ila ningezua soo kubwa ukizingatia nlizamia so yule mzee alinzaba mikofi kama 6 ivi na wala hakuongea na mm wala sikusema nikageuka kutazama wenzngu naona wanaparty na kina mama nkatoka nje nkaenda kulala uku nikiomba Ile mibanzi kusiwe na mtu ameiona na ndo ikawa ivo

Back
Top Bottom