hanzagira
Member
- Jun 6, 2018
- 32
- 31
- Thread starter
- #21
Je Qama yeye anadai uwe mkristo na yeye atkbar awe muislam?msimamo wake yeye anadai nimpe ufumbuzii juu ya hilii tu nini hatma ya utofaut wa dini zetu anakomea hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya imani ni magumu sana, unaweza ukachukulia juu juu halafu baadae ikaleta matatizo. Kama unaweza tafuta mpenzi wa imani yako, hiyo ndio best solution hakuna nyingine.nimekupata mkuu lkn hizi tabia za kua na mtu pembni ningejua t mna kwa miaka yote hii niliyokua nae sjawahi kosa imani nae hata mara moja labda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu! Hamna namna hapo achaneni kwa nia njema. Nina kadhia kama ya kwako, nimekubali moyo uniume tu!
Ni majuzi tu nimejiezua.
Ila nakiri kwamba nilitokea kumpenda na sijawahi kuwa mwepesi na kuwa muwazi zaidi kwa mwanamke ukimtoa mama yangu labda yeye.
Lakini hakuna jinsi bro! Mbadala ni kuachana kwa wema. Nina imani nitampata wa dini yangu na furaha ya moyo itarudi tena inshaallah.
mkuu baki naye tu kwa kweliiii[emoji28][emoji28]Nipe huyo wakwako namimi nikupe wakwangu maana dini yademu wako ndio dini yangu nadini yademu wangu ndio dini yako kama utojali tufanye change.
NB: ila wakwangu ishamzalisha
Sent using Jamii Forums mobile app
yeah na hiyo ndio swala zito linapoanziaa ila binti hana taabu sema yeye akiwaza familia yake ndio changamotowazazi wa huyo binti hawataki generation yao iangukie ktk dini tofauti. utapata changamoto hata ndani ya ndoa kama mtaoana, ni vyema ukaepuka hilo maana nishaona ndoa kama tatu za mfaano wako na mwisho wa siku utabaki na watoto wakilelewa na mama mwingine bora ufanye uamuzi mapema.
Mfuate Ndio njia nzuri kama unampendahabarini wakuu nipo kwenye ugomvi mzito na msichna wangu ambaye uhusiano wetu toka uanze ni wa muda kiasi kama miaka miwil hivi.
na tatizo kubwa liliopo ni utofauti wa dini zetu yeye ni mkristo na mimi ni muislamu.
Sasa kwa wale ambao mmewahi pitia changamoto kama hii naombeni ushauri wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata nikikupa pole naona si sahihi.Mkuu! Hamna namna hapo achaneni kwa nia njema. Nina kadhia kama ya kwako, nimekubali moyo uniume tu!
Ni majuzi tu nimejiezua.
Ila nakiri kwamba nilitokea kumpenda na sijawahi kuwa mwepesi na kuwa muwazi zaidi kwa mwanamke ukimtoa mama yangu labda yeye.
Lakini hakuna jinsi bro! Mbadala ni kuachana kwa wema. Nina imani nitampata wa dini yangu na furaha ya moyo itarudi tena inshaallah.
Mapenzi ni ya ajabu sana. Muda mwengine Usiporuhusu kuumia hautoweza kusonga mbele.Hata nikikupa pole naona si sahihi.
Ipo kwangu pia na ni mwaka huu mpaka nikajiona nimeanza vibaya, japo nilikaa muda mrefu bila kuwa na mpenzi nikitamani nimpate aliye na sifa zote za kuwa mke hatimaye nilimpata aliniamini sana nami nilimuamini, tofauti ya dini zetu ndizo sababu sipo nae tena.
Natamani ningeweza nihakikishe anampata mwanaume sahihi aolewe nao kutokana na mengi mazuri aliyofanya kwangu.
S" nilikubali niumie ili nisiharibu maisha yako nakumbuka kauli yako kuwa "A... me sihitaji boyfriend nahitaji mume" ila nilikosa sifa za kuwa mume wako.
Allah atujaalie sote kati yetu wenza walio sahihi kwetu, na tuishi vyema katika ndoa ikiwa tutajaliwa kufikia huko aamin.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi ni ya ajabu sana. Muda mwengine Usiporuhusu kuumia hautoweza kusonga mbele.
mimi nakuumia umia ndio hua sikutakii kabisaMapenzi ni ya ajabu sana. Muda mwengine Usiporuhusu kuumia hautoweza kusonga mbele.