Hata nikikupa pole naona si sahihi.
Ipo kwangu pia na ni mwaka huu mpaka nikajiona nimeanza vibaya, japo nilikaa muda mrefu bila kuwa na mpenzi nikitamani nimpate aliye na sifa zote za kuwa mke hatimaye nilimpata aliniamini sana nami nilimuamini, tofauti ya dini zetu ndizo sababu sipo nae tena.
Natamani ningeweza nihakikishe anampata mwanaume sahihi aolewe nao kutokana na mengi mazuri aliyofanya kwangu.
S" nilikubali niumie ili nisiharibu maisha yako nakumbuka kauli yako kuwa "A... me sihitaji boyfriend nahitaji mume" ila nilikosa sifa za kuwa mume wako.
Allah atujaalie sote kati yetu wenza walio sahihi kwetu, na tuishi vyema katika ndoa ikiwa tutajaliwa kufikia huko
aamin.
Sent using Jamii Forums mobile app