Kisa Chid Benz, bifu la Lady Jaydee na Ray C laibuka upyaaaaaa

Unazungumzia band na nyimbo za juzi ...kwanza tumia akili Ray c alikuwa na swaga kitambo ni mtoto wa mjni anajua kucheza na video ,jaydee bado ni mshamba kwa Ray c huo ndio ukweli.

Katika level za mziki Ray c alikuwa moto hata wasanii wa kike walikuwa wanampenda kama role model wao .
Unaonekana Bado mtoto Kuna wengine wanasikiliza Melody tu kwa Hilo jide is the best anajua kuimba haboi ...Ray c she is talented lakini hawezi toboa kwa mziki wa siku hizi
 
wote wagonjwa tu, wanamhitaji MUngu. Ila RC ni mgonjwa mahututi zaidi, na ndiye aliyeharibu zaidi tabia za watoto kwa uvaaji wake na manyimbo yake, na ndiye aliyetumiwa zaidi na wanaume kuliko mwenzie aliyeaadilisha wachache tu. na ray c anakebehi mwenzie kwa kuwa single mother, uzuri wote ule alifikia kuzaa bila kuolewa. wakati mwenzie pia aliolewa bila kuzaa. atakayeheshimika ni huyu aliyeolewa, huyo mwingine analijua jina lake atakaloitwa.
 
Aishwarya Rai kaachika huko kwa Abhishek ,umesikia?

Sababu kuu inasemekana Jaya Batchan amechangia kwa kiasi kikubwa ,Aishwarya na Jaya walikuwa na mgogoro kwa muda mrefu uliopelekea wasisemeshane mtu na mkwewe kwa muda mrefu.

Hivyo ikawa ngumu kwa Abhishek achague aegemee wapi kwa mke au mama yake mzazi.

Ikumbukwe pia, chaguo la Aishwarya kwa kiasi kikubwa ilichangiwa na Amitha Batchan ,Amitha hakutaka mwanaye amuoe Karisma Kapoor ,familia hizi mbili hazikuwa na maelewano mazuri hivyo Amitha akaongea na familia ya Aishwarya mwanaye amuoe Aishwarya
Nimepitwa aiseee. Ila kusema kweli ile couple haikua inaendana basi tuuuu nlikua naona kama Aish kapotea njia. Kwahiyo mrembo Aishwarya kakimbia gubu la mama mkwe.

Movie ya khabhi khush, Amitabh ndio alikua hampendi mkwewe kny real life imekua viceversa lol
 
Back
Top Bottom