Kisa changu cha Sinza

Hizi starehe ni za lini? Mana mm ilikuwa enzi za boom Elfu 8 per day likitoka tunaenda kulimalizia pale ambiance sinza. Mabroo zetu wakawa wanatucheka eti starehe zetu zilikuwa hazifikii enzi za kwa macheni na kili time. Boh
Dah! Enzi za boom elfu 8 si juzi tu hapa! Na sisi wa enzi za boom elfu 2 na 500 tutasemaje sasa!

Enzi hizo daladala pendwa za Mwenge Mbagala, Kivukoni Mbagala, Gongolamboto Kivukoni, nk ni Toyota DCM.
 
Wengi hawajaelewa ulichotaka kuzungumzia, ni hivi Ushoga na mapenzi kinyume na maumbile.
Lol
 
Velvet pale sinza nasikia kulikua hadi na group sex ndani kule vip, Yani unafanya mapenzi unaona na wengine wanafanya chumba kimoja mnakua watu 10 hiv wote mpo uchi, simu haziruhusiwi kule vip..

Natafuta club dar ambayo wahudumu wake wanahudumia wakiwa uchi shokoshugi
 
Haya ya kwanza point 3 imetulia. Mno
Kazi ni kipimo cha utu
 
10+ years in dar plus your story, I can say that, you still an amature in the city.
Usimdogoshe kasi yake ni kubwa,
Kuna raia 30 to 40+ in Dar born"hiya hiya"ila hizo mishe za ki underworld hawajahi wanaskia na kupitia mbali kabisa na kwa hofu, na ndio wengi.

Suala la ununuzi wa papuchi sio la kila mtu mjomba, nayo ni hobby. Savage shit hizo. Na kwamujibu wa story yake jamaa ana move solo bila mpambe wala gang 😎

Au wew za kwako ni za kinoma zaidi?

Ila mshahara wa hizo moves unajulikana...
 
Wengi hawajaelewa ulichotaka kuzungumzia, ni hivi Ushoga na mapenzi kinyume na maumbile.
Lol
Kila mtu na starehe yake mm kabla sijapewa tako nlikuwa na mdomo nilipata demu anaejua kulitoa hadi leo nimekuwa kimya nikipewa offer naipokea
 
Unahonga laki mbili na kumaliza pesa kwenye umalaya, unaishiwa, halafu unakuja kutuomba kibarua, hatukupi.
 
Unazungumzia kazi haramu? Utafungwa.
 
Dah! Enzi za boom elfu 8 si juzi tu hapa! Na sisi wa enzi za boom elfu 2 na 500 tutasemaje sasa!

Enzi hizo daladala pendwa za Mwenge Mbagala, Kivukoni Mbagala, Gongolamboto Kivukoni, nk ni Toyota DCM.
Kwamba kipindi cha boom la elfu nane na mia tano, nacho anakiita enzi.
 
Huyo ni mpumbavu, kufanya uhuni kwa kiasi kikubwa siyo ujanja ni ugonjwa wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…