Kisa cha Valentine

Simba Mkali

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
620
239
Mwanangu kakataa kwenda shule jana nikamuuliza tatizo ni nini...

Mwanangu :Baba leo ni Sikukuuu

Mimi: Sikukuuu, Sikukuuu gani

Mwanangu: Si ile ya wanapendanao...

Mimi: Kwahiyo ndiyo huendi shule...

Mwanangu: Eeeeh ni Valentine Day
 
Mwanangu kakataa kwenda shule jana nikamuuliza tatizo ni nini...



Mwanangu :Baba leo ni Sikukuuu

Mimi: Sikukuuu, Sikukuuu gani

Mwanangu: Si ile ya wanapendanao...

Mimi: Kwahiyo ndiyo huendi shule...

Mwanangu: Eeeeh ni Valentine Day

Tunda sawa mti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom