Kisa cha Rais Magufuli na bwana Maakov Litzman Waziri wa Afya wa Israel juu ya COVID-19

Watanzania tungejua idadi ya watu wanaougua Magonjwa mengine na vifo vinavyosababishwa na Magonjwa mengine huenda Corona tusiingeiogopa hivyo.Nadhani Kuna Magonjwa mengi Sana yanahitaji hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuwa na maana kwamba eti anaudharau huu ugonjwa bali alitaka watu wasiwe na hofu. Na kupata matatizo ya kiasaikolojia hivyo watulie na kufanya kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini uhofie ugonjwa ambao asilimia karibu 98 wanapona.Hata kabla ya Corona kila siku sehemu za makaburi watu walikuwa wanazikwa je walikuwa wanakufa kwa Corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli akiwa Dodoma kanisani alisema:-
1. Corona ni kaugonjwa kadogo
2. Tusitishane
3. Tusipaniki

Watu walichukizwa na maneno yake ndipo akaenda ikulu kutoa speech rasmi na aliandikiwa.
Viongozi wetu hawako serious enough kwenye hi Vita.
Tungefunga mipaka yetu tangu awali Hali isengekuwa mbaya kiasi hiki.
Mwanzoni wagonjwa walikuwa wakipelekwa Mloganzila, Sasa Amana na Muhimbili ni hospital za Corona, lakini tunaambiwa tuna wagonjwa 170 tu. Je watu 170 hawatoshi mloMloganz Hadi wapelekwe na hospital zingine?
Mkuu Muhimbili itoe hapo haipokei wagonjwa wa corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye kazi yake au alieajiriwa hakuna anae taka kufungiwa nifungiwe halafu kazi yangu afanye Nani? Anae Lilia kufungiwa Hana kazi njaa inamsumbua anawaza akifungiwa atapewa na msosi
Watu wanataka aseme mkae ndani halafu hapo hapo wadai chakula.Wakae wakijua imeshatangazwa stay at home.Sasa watu mnasubiri Tangazo Gani jingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine ni wafanyakazi na wameambiwa kazi ziendelee. Atabakije nyumbani pasipo kuambiwa na mamlaka? Ndio maana tunawachagua viongozi si kwa fashion bali waelekeze cha kufanya panapokuwa na mtanziko. Ukisema kila mtu aamue atakavyo itakuwa haisaidii
 
Kuna mijitu inapenda mteremko sana, au wanahisi watakuwa wanaletewa msosi kila siku? 🤣 🤣
Kwann akili yako ipo katika kujaza tumbo tu? Fikiria pia namna ya kuokoa maisha yako na ya wengine. Hili janga sio lele mama kama mlivyozoea kusema “Huu ni upepo utapita“. This is real. hakuna vifaa tiba vya kuokoa uhai wa watu katika hospitali zetu, hakuna chochote zaidi ya siasa na wewe bado unawaza tumbo tu.
 
Back
Top Bottom