Kisa Cha Mmasai na Kuibiwa Ng'ombe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kisa Cha Mmasai na Kuibiwa Ng'ombe

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Ndallo, Mar 14, 2012.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Wezi wa mifugo waliiba Ng'ombe kwa Mmasai na kumbakishia Ndama mmoja tu! Kisha wakamfunga yule Mmasai kwenye mti usiku kuchaa, Asubuhi yake majirani wakamuona yule Mmasai na kumpa pole baada ya Mmasai kuwaeleza kisa chote, na hapo yule Mmasai akasema sisitikii Ng'ombe wangu kuibiwa bali huyu Ndama waliyemuacha alikuja kuninyonya ***** usiku kucha akidhani ni ziwa la mama yake hapa nilipo niko hoi kanipigisha mabao 9!
   
 2. Candy kisses

  Candy kisses JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  yuck...nahic ntatapika
   
 3. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,129
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Ndama angenyonya wapi kama sio kwa mwenye mifugo? Joke ina mchanganyiko wa masikitiko, huruma na kichekesho kwa mbaaali
   
 4. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ndama alikuwa ananyonya hadi anahakikisha kitu kinatoa milk.
   
 5. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  natapika jamani.....
   
Loading...