Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Alitumia dukani kwa huyo dada! Uwe unasoma ukiwa umetuliza akili.Nimeomba kueleweshwa walikuwa wanatumaje?
Alitumia dukani kwa huyo dada! Uwe unasoma ukiwa umetuliza akili.Nimeomba kueleweshwa walikuwa wanatumaje?
Duh unaonekana jinsi gani walimu wako walipata kazi , rudia kusoma utaelew.Jamaa alimtumia demu 170000 miaka ya 2000s alimtumia kwa njia ya posta au mimi ndio sijaelewa hapa.
Anamalizia kuandika[emoji1787]Kwani wazee si mzigo unaendelea Au ??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...!we chizi saaaanaMkuu malizia kabla hajakukataza....
Afu kapashe kiporo.
Hujalazimishwa kusomaHivi kwanini mnapenda kuturingishia story zenu..!!mimi mnaniboa bwana aahh
Saiv anaona aibu yeye kumbe alikuosea kusoma🤣Jamaa hajasema alimtumia kasema alitumia 170k
Hayakuhusu..mxiuuuuHujalazimishwa kusoma
[emoji3][emoji3] we cbiria bwana jini akubong'oze badaeMi niwataadharishe tu wote mnaoufuatilia huu uzi kuwa Bwana JINI kashashtukia kuwa siri zake zinawekwa hadharani, hivyo leo msilale kizembe atashindwa mtu kwenda haja kesho.