Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 19,985
- 41,302
Mbona hta Afrika ipo hivyo, au ulitaka kusemajeView attachment 2615528View attachment 2615529
Kisa Cha Michael Essien na John Terry wakikipiga Chelsea
John Terry alikua akimshangaa mchezaji mwenzake Michael Essien...
John Terry alikua anamshangaa Michael Essien kwanini akipata pesa inaishia haraka...... Pesa ya Michael Essien ilikua Ina isha haraka kwasababu dependency ratio ilikua higher....
John Terry alikua akimsikia Michael Essien akizungumza Kwa simu na watu wake wengi huku Afrika ambao Michael Essien alikua anawatumia pesa...
John Terry alikua akishangaa sanaa kiasi cha kujiuliza huko afrika wanaishije au waafrika tuna ishije ishije....
Maana wazungu ki kawaida wanaishi Baba,mama, mtoto au watoto..
Ukiwa mtu mzima unajitegemea na unakua hauna burden kubwa ya wategemezi zaidi ya familia yako (nucleated family)
Swali,
Je? na sisi tufike huko au hayatuhusu...
Ni nini maoni yako...
Afrika bado sana. Hata ukiwa Russia, Sudan au Ukraine ndugu watakuomba pesa tu.Na sisi safar ndio ishaanza mkuu taratib tutafuka huko.Na yote hiininaasababishwa na watu kuelimika pamoja na utandawazi
Afrika ujamaa sana una ona Michael Essien alimaliza pesa haraka sabb ya kua na tegemezi wengi....Mbona hta Afrika ipo hivyo, au ulitaka kusemaje
Haaahaaa,Mimi home dodoma toka nimehamia Dar Wagogo wote wananipigia kuomba hela.
TrueSocialism vs capitalism
Hapana mkuuπ€£π€£π€£π€£ππNikajua wameleft group π
π€£π€£π€£Mimi home dodoma toka nimehamia Dar Wagogo wote wananipigia kuomba hela.
Ni kwel tena so hata watoto wa baba mdogo na mkubwa hawasaidiani.....Na sisi safar ndio ishaanza mkuu taratib tutafuka huko.Na yote hiininaasababishwa na watu kuelimika pamoja na utandawazi
Kama walishiriki katika kukusaidia kufanikiwa ni wajibu wako kurudisha wema uliotendewa kwa wahusika na sio swala la kuwaona wasumbufu maana hata wewe kuna wakati uliwasumbuaMimi home dodoma toka nimehamia Dar Wagogo wote wananipigia kuomba hela.
Na sio kwamba hawapendi.Wanapenda wasaidiane...Hata hao wazungu wanapenda wasaidiane...ila econimic constraints ndio kipengele..Hawana ubavu huo.Ni kama sisi hiv leo nguvubya kusaidia watoto wa baba mkubwa au mjomba ni ndogo...we have a heart but no capacity tondo that...uchumi...uchumi ..tunapata kile tuu kinachotutosheleza sisi na wapendwa wetu..na bado pia hakitoshi sawa sawaNi kwel tena so hata watoto wa baba mdogo na mkubwa hawasaidiani.....
Watoto wa mjomba na shangazi hawasaidiani...
Ni muhimu sanaa maana Kuna muda na sisi tulikua kwenye uhitaji......Kama walishiriki katika kukusaidia kufanikiwa ni wajibu wako kurudisha wema uliotendewa kwa wahusika na sio swala la kuwaona wasumbufu maana hata wewe kuna wakati uliwasumbua
It's Payback time
Ni kwel ila waswahili husema kutoa ni moyo sio utajir...kunawatu wanazo pesa..Na sio kwamba hawapendi.Wanapenda wasaidiane...Hata hao wazungu wanapenda wasaidiane...ila econimic constraints ndio kipengele..Hawana ubavu huo.Ni kama sisi hiv leo nguvubya kusaidia watoto wa baba mkubwa au mjomba ni ndogo...we have a heart but no capacity tondo that...uchumi...uchumi ..tunapata kile tuu kinachotutosheleza sisi na wapendwa wetu..na bado pia hakitoshi sawa sawa
Ni kwel kaka.Ila hawa ni wachache tatizo katika mtaa unaweza kuta kadhaa tuu..Ni kwel ila waswahili husema kutoa ni moyo sio utajir...kunawatu wanazo pesa..
Wanapika makuku wakishindwa kuyamaliza wanayamwaga....
This world iz not fair.....
Kuna watu wana appetite ya kula Tatizo hawana msosi...the same applied Kuna watu wana chakula Tatizo ni appetite ya kula π€π€π€
Mnaweza mkaishi na ndugu jirani na msi tembeleane tumekua busy sana huku mujini....