Kisa cha mfungwa na msaada kwa baba yake aliyeko kijijini.

Kisa cha mfungwa na msaada kwa baba yake aliyeko kijijini.

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,458
Kijana 1 alifungwa jela miaka 7 baada ya miaka 2 baba yake akamwandikia barua mpendwa mwanangu umeniacha ktk maisha magumu ya maradhi na umasikini bora ungekuwepo ungenisaidia kulima.

Mtoto akajibu tafadhali baba usithubutu kulima hilo shamba sababu pesa zote nilizoiba nimezificha huko, kwakua barua zote husomwa na polisi kesho yake baba kuamka kakuta polisi zaidi ya 100 wanalima shamba mpaka wamemaliza hawakupata hata senti 5.

Mtoto akamwandikia baba yake natumaini msaada wangu umeufurahia sasa panda mahindi.

Nguvu kijijini.

Mjini akil...
 
Hii kweli inamaanisha ile methali yetu ...."Akili ni nywele kila mtu ana zake".
 
Back
Top Bottom