Hakuna kesi hapoBaada ya jamaa kujua hivyo, akaamua kulipa kisasi Kwa kutembea na marafiki WA aliyekuwa mchumba wake, na baadaye aliyekuwa mchumba wake akajua. Kesi kama hii iamuliwe vipi
Je warudiane, na warudiane VP, au kila MTU aendelee na maisha yake, na je Kwa dini Yao italeta maana.
Je kidini wafanyeje wakati tayari uchumba unatambulika. Au waachane juu Kwa juuMwwafanyakazi st: 24998461 said:Hakuna kesi hapo
Kila mmoja aendelee na maisha yake.
Maadam mgojwa kisha mtambua mwenza wake sio mtu sahihi, kutokana na changamoto ya ugonjwa aliyokuwa nayo.
Asonge mbele.
Pia mwanamke anasema yametokea hayo kwa vile alimvumilia jamaa Hadi hisia zikazidi ndio akafanya hivyo, je anastahili msamaha, na pia ukumbuke jamaa ameshatembea na rafiki zake.Dunia ina mambo mengiHakuna kesi hapo
Kila mmoja aendelee na maisha yake.
Maadam mgojwa kisha mtambua mwenza wake sio mtu sahihi, kutokana na changamoto ya ugonjwa aliyokuwa nayo.
Asonge mbele.
Warudiane au wasirudiane. Na je kidini wamalize vipi hili swala, mwanamke alimuacha jamaa, aliogopa kuitisha kikao cha pande Mbili.Kesi ya nini? Na inatoka wap?
[emoji106]Hakuna kesi hapo
Kila mmoja aendelee na maisha yake.
Maadam mgojwa kisha mtambua mwenza wake sio mtu sahihi, kutokana na changamoto ya ugonjwa aliyokuwa nayo.
Asonge mbele.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]muwe mnatulipa hela tunaotoa ushauri.
Unamaana ganiWanawake sio -mara nying sana inatokea hivyo
wasaliti isije mka mzarau ndgu yako kisa yeye !!utaoza ndaniUnamaana gani
Je familia zikae kuvunja uchumba, na je wasipovunja kila MTU akashika hamsini zake, kidini italeta maanaKila mtu hapo ashike za kwake asepe yan
Duh kumbewasaliti isije mka mzarau ndgu yako kisa yeye !!utaoza ndani
KwaniniBila shaka huyo jamaa yako ni mkazi wa Dar
Mwanaume ana kosa gani hapo. Na je mwanamke kosa lake lipi, ikiwa anasema alimvumilia Sana jamaa kimwili ndio ikatokea hivyoHapo hakuna uvumilivu baina yao nmiliaa ndoa ishakufa since jamaa yuko kitandan