Mima white cute
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 740
- 1,305
Ndio mkuuWewe ni msemaji wa hiyo nyumba...?
Yahn hatariiii....usiombeee kabisaaaDah ngumu kumeza hii
Kabisa mkuuSiku zote adui wa mwanamke ni mwanamke.
A nawaza watoto wake kwani sasa tayari na yeye ana watoto wa tatu.....ila Mimi kwa ujeuri wangu ningeondoka tuKuna kitu kinaitwa Karma... Huyo mwanaume na mama yake siku moja karma itawatafuna...
Huyu mdada anaefanyiwa haya kwanini asiondoke kwao?
weeee usifanye utani na kuletewa mtoto ukiwa upo kwenye ndoa bola Mara mia umkute nae...Mimi siwezi binafsi na sina moyo huo nikimkuta sawa ....yahni Mimi Nike kuhudumia mtoto kumfulia kumfanyia kila kitu alafu wamenifanyia usaliti.....Tena Mara mia aje akiwa na akili zake timamu anaweza kufanya kila kituKwanza pole kwa mhusika wa hiki kisa
Ujue maisha yana mengi na katika mengi lazima uvumilivu uwepo
Swala la kulea mtoto wa mwingne inabidi akubali maana wakati mwingine ili kuweka mazingira ya kipato sehemu moja akikataa inaweza ikawa mwanaume anatoa garama za malezi ambazo zilipaswa ziliwekwe sehemu moja
Mkuu kumbuka uchumi wa familia hukaa sawa pale ambapo familia iko sehemu moja ukiruhusu akatoe matumizi huko jiandae kuletewa watoto zaidi ya huyoweeee usifanye utani na kuletewa mtoto ukiwa upo kwenye ndoa bola Mara mia umkute nae...Mimi siwezi binafsi na sina moyo huo nikimkuta sawa ....yahni Mimi Nike kuhudumia mtoto kumfulia kumfanyia kila kitu alafu wamenifanyia usaliti.....Tena Mara mia aje akiwa na akili zake timamu anaweza kufanya kila kitu
Na imekaaje wanakuletea mtoto kulea alafu wao wana endelea kufanya yao kimya kimyaMkuu kumbuka uchumi wa familia hukaa sawa pale ambapo familia iko sehemu moja ukiruhusu akatoe matumizi huko jiandae kuletewa watoto zaidi ya huyo
Hapo unapaswa kusamehe na kuruhusu maisha yaendelee
Mkuu swala la wao kufanya yao linabaki kuwa ni sehemu ya usaliti ulio jijenga na kama huwezi basi umruhusu aongeze mke wa pili ila uwe unajua mko wawili kuliko kutaka kumsurubu mtoto asie jua chochoteNa imekaaje wanakuletea mtoto kulea alafu wao wana endelea kufanya yao kimya kimya
Unapaswa kujua mwanaume hana limit ya kuoa au kuzalisha anaweza kuzaa hata na wanawake 10 ukiwa nae ndani ya ndoaNdio mkuu