Kisa cha Frola wa Kisutu

Kisa cha Frola wa Kisutu

dont say ukakimbia na kila kitu chako ukaacha geto..
kwani kifaa ni kifo? ungesubiri arui katika hali ya kawaida uzungumze nae
kifaa ni wrong signals zinazotokea katika mwili wa binadamu
elewewa mwili wako ni kama mashine na ina umeme wake,
inapotokea shoti ya umeme ndio hivo hivo mwili wetu unakuwa.....
we una riho mbaya kijana kumkimbia dada wa watu,,anyway ahsante kwa hadithi nzuri ya kutunga
Flora ni mke wangu sasa tuko na watoto 11.
 
Kweli siku hizi majukwaa yamevamiwa,siamini mtu ambaye 93' wakati mr ii anatafuta boda la south africa wewe unaanza form I ndio unaandika habari za jokes kwenye jukwaa la mmu,mods plz iamisheni ipelekwe jokes!!
 
Nadhani kuna watoto humu na wanafikiri wote walio humu ni watoto wenzao
 
Back
Top Bottom