HakikaDaahh so sad ".. vijana wa taifa hili baadhi yao ni empty set
Mkuu mbona yuko vizuri. Umesoma baina ya mistari? Kiswahili bwana!! We acha tuuko na hangover??
Mwenye macho haambiwi tazamaMuda mwingi yupo field huko huwa mazingira sio rafiki(wanaofanya kazi za field wanaelewa) nyumbani ndio sehemu ya yeye kupumzika na kufurahia. TV kwa ajili ya kuangalia mpira ili asiwasumbue wengine na electric bed kupata pumziko alitakalo.
Tunaishi mara moja tu kwenye hii dunia ukipata nafasi ya kufurahia maisha unaitumia.
Simple and clear. Asiyekuelewe ama ana mtindio wa ubongo au yeye ndio rashidi halisiRashid ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kati ya watoto watatu. Wapili alipata scholarship kwenda kusoma nje ya nchi na watatu yuko chuo bado hapa hapa nchini.
Engineer Rashid amehitimu masomo yake na amepata ajira humuhumu mjini Dar. Kwa sasa bado anaishi nyumbani kwenye kile chumba cha wavulana. Baba na mama engineer ni wastaafu walioitumikia serikali ya awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu.
Kwa nature ya kazi yake anakwenda sana field. Katika miezi mitatu ya kwanza ya ajira Rashid alijikuta ana milioni 20 balance ikiwa ni malipo ya mshahara na masurufu ya safari. Tangu anaanza kazi mzee alimfahanisha kuwa haihitaji pesa yake. Pesa yake aanze kupanga maisha yake.
Rafiki yangu Rashid alianza kununua TV ya 40” kwaajili ya chumbani kwake, hii ni maalum kwa kuangalia mpira hasa msure akiwa home na anaangalia mambo ya siasa.
Alinunua eclectric bed, unaweza kupandisha mgongo au miguu. Kitanda hiki si kwa apeche alolo.
Siku mizigo inafika na mzee alikuwepo. Baba yake alimuuliza Rashid hivi vitu ni vya nani? Alijibu kuwa ni vya kwake. Mzee aliuliza tena, vinakwenda wapi? Akasema chumbani kwangu. Mzee alipatwa na hasira akamwambia hivi wewe, mimi ningenunua masofa nikiwa kwa baba yangu ningekulelea wapi wewe?
Ndipo hapo Rashid alipoanza kutafuta kiwanja na kujenga nyumba yake akiwa kwa wazazi wake.
Fanya ya msingi wanza. Hayo mengine yatafuata baada ya kukamilisha ya msingi.Kwa mtazamo wangu engineer Rashid yupo sahii, kama ana balance ya 20m kutoa 3m kununua hivyo vitu ni sawa. Muda mwingi yupo field huko huwa mazingira sio rafiki(wanaofanya kazi za field wanaelewa) nyumbani ndio sehemu ya yeye kupumzika na kufurahia. TV kwa ajili ya kuangalia mpira ili asiwasumbue wengine na electric bed kupata pumziko alitakalo.
Tunaishi mara moja tu kwenye hii dunia ukipata nafasi ya kufurahia maisha unaitumia. Tatizo sisi watanzania tumeshazoea shida, vitu vya kawaida tunaona anasa.
Mkuu kwani ni lazima kuhama home(kupanga) ndio uanze kujenga kwako?Fanya ya msingi wanza. Hayo mengine yatafuata baada ya kukamilisha ya msingi.
Baada ya kupata kazi, fanya hivi:_
Hama home
Nunua kiwanja, anza kujenga japo rooms 2
anzisha biashara,
jiendeleze kwenya karia yako
oa,
nunua gari
Mzee wake anabusara, ameishi mjini muda mrefu, hana njaa ya pesa. Angemshirikisha mzee katika maongezi hata kusimamia ujenziMkuu kwani ni lazima kuhama home(kupanga) ndio uanze kujenga kwako?
Kwa hali aliyonayo huyo engineer anaweza kuendelea kukaa kwao akawa anajenga nyumba yake.
Electric bed inasnzia milioni 15 ndiyo maana nilisema si cha apeche alolo.Kwa mtazamo wangu engineer Rashid yupo sahii, kama ana balance ya 20m kutoa 3m kununua hivyo vitu ni sawa. Muda mwingi yupo field huko huwa mazingira sio rafiki(wanaofanya kazi za field wanaelewa) nyumbani ndio sehemu ya yeye kupumzika na kufurahia. TV kwa ajili ya kuangalia mpira ili asiwasumbue wengine na electric bed kupata pumziko alitakalo.
Tunaishi mara moja tu kwenye hii dunia ukipata nafasi ya kufurahia maisha unaitumia. Tatizo sisi watanzania tumeshazoea shida, vitu vya kawaida tunaona anasa.