Kisa cha dada mpenda raha


Umesahau kuwa kijiwe chetu kilikuwa ni Vingunguti Dampo au mitaa ya Tabata...teh teh
 
haaaaa haaaa kwiiiiiiiii kwiiiiiiiiiii, Elli nawe huna siriiiiiiiii!!!!!!!!!!!!
 

Mpwa ni uvivu na kujishebedua sasa alichokimbia ni nini maana angelowa miguu sasa mwili wote maji machafu !
 
Hahahahaha LOL!!!! Nilianza kucheka baada ya kuona umenitaja katika uzi huu hata kabla sijafungua kujua umeandika nini, ila nilishahisi umeandika nini 🙂🙂 Haya banaaaaa ukikua utaacha LOL! :majani7: :majani7: :majani7:Wish you a lovely and enjoyable day 🙂🙂



ahahahaha, mpwa Elli hizo dili niliachaga siku nyingi zilikuwa zinahatarisha ndoa yangu, huyo binti ni Fixed Point na BAK ndo alimbeba,
 
Last edited by a moderator:

hahahaaaaa.........duh! mpwa umenikumbusha mbali.......siku ile nilivogoma kubebwa, so saudari na Safari_ni_Safari wakanishika mikono huku na huku wakati mie nakanyaga vijimawe mlivopanga. Kufika kati eti saudari akaona namchelewesha kaniwekaje begani sasa........hahahahhaaaaa!!
Siku nyiiiiiiingi nlikuwa sijabebwa aisee!!!
 
Last edited by a moderator:
Inatia huruma kwa dada, ila namashaka na huyo dogo mbebaji kama alikula dili na mpiga picha vile.! Maana kila hatua jamaa alikuwa anafuatilia tukio?.

Mjini hapa!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Elli, mi ni kama refa, kila sehemu ninakuwepo kamili na zana zangu
 
Last edited by a moderator:
Ukute na walimuaibia...vibaka wa dar ni noma
 
Hongera Mwaya umeingia mtandaoni bila kutegemea umetuongezea siku za kuishi kwani tumecheka wakati yeye analia.
 
duh jamani....nlianza kumsikitikia hadi niliposoma comment ya LexAid hahahahahahahahahahahahahahahah. Kumbe iyo ndo grey...sijawah kuona za ivyo zikiuzwa aisee!!!
 
Last edited by a moderator:
aisee kazi kweli kweli alianza kwa kucheka akaishia kulia
 
Kusema kweli kijana amemdhulumu na amekusudia kumrowanisha binti asiye na hatia Kwani alimlipa fedha kwa mapatano!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…