Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,014
- 9,883
Sidhani kama kuna hoja ya hapo zaidi ya watu kuwa mazombiSio wanaogopa kumsema,
Ishu Hakuna mwenye kuweza kujibu hoja za gwajiboy
Mbunge wa Kigoma Mjini, Kirumbe Genda amesema wabunge wengi wanajua Josephat Gwajima amekosea ila wanashindwa kusema
Kirumbe amesema wabunge wanaogopa kuwa wataenda kusemwa kwenye madhabahu Jumapili, lakini yeye amejitoa dhabihu
Amesema wazi kuwa Gwajima ni mgeni hayajui masuala ya bunge lakini amejiweka mstari wa mbele na hakuweza kuthibitisha tuhuma zake
Huu ni ukweli tupuSio wanaogopa kumsema,
Ishu Hakuna mwenye kuweza kujibu hoja za gwajiboy
Adhabu aliyopewa na bunge Ni ndogo Sana, inatakiwa chama kimfukuze chamani, na vyombo vya ulinzi vimfungulie mashtaka ya uhaini huyo mchungaji tapeliMbunge wa Kigoma Mjini, Kirumbe Genda amesema wabunge wengi wanajua Josephat Gwajima amekosea ila wanashindwa kusema
Kirumbe amesema wabunge wanaogopa kuwa wataenda kusemwa kwenye madhabahu Jumapili, lakini yeye amejitoa dhabihu
Amesema wazi kuwa Gwajima ni mgeni hayajui masuala ya bunge lakini amejiweka mstari wa mbele na hakuweza kuthibitisha tuhuma zake
Wameshindwa kwa hoja.Ccm msitegemee police kuwajibieni hojaAdhabu aliyopewa na bunge Ni ndogo Sana, inatakiwa chama kimfukuze chamani, na vyombo vya ulinzi vimfungulie mashtaka ya uhaini huyo mchungaji tapeli
Afadhali huyu kawa mkweli na muwaziMbunge wa Kigoma Mjini, Kirumbe Genda amesema wabunge wengi wanajua Josephat Gwajima amekosea ila wanashindwa kusema
Kirumbe amesema wabunge wanaogopa kuwa wataenda kusemwa kwenye madhabahu Jumapili, lakini yeye amejitoa dhabihu
Amesema wazi kuwa Gwajima ni mgeni hayajui masuala ya bunge lakini amejiweka mstari wa mbele na hakuweza kuthibitisha tuhuma zake
Unataka mama CCM imufie mikononi kwa kutengeneza upinzani ambao haupo siyo?Adhabu aliyopewa na bunge Ni ndogo Sana, inatakiwa chama kimfukuze chamani, na vyombo vya ulinzi vimfungulie mashtaka ya uhaini huyo mchungaji tapeli
Huyo Gwajima ameambiwa aweke ushahidi wa maneno anayonena ameshindwa amebaki anatoa macho kama ameona ile video yake ya matusi.Sio wanaogopa kumsema,
Ishu Hakuna mwenye kuweza kujibu hoja za gwajiboy