Kirumbe Genda: Mapendekezo ya Adhabu kwa Askofu Gwajima hazitoshi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,861
1630406983333.png
Mbunge wa Kigoma Mjini, Kirumbe Genda amesema wabunge wengi wanajua Josephat Gwajima amekosea ila wanashindwa kusema

Kirumbe amesema wabunge wanaogopa kuwa wataenda kusemwa kwenye madhabahu Jumapili, lakini yeye amejitoa dhabihu

Amesema wazi kuwa Gwajima ni mgeni hayajui masuala ya bunge lakini amejiweka mstari wa mbele na hakuweza kuthibitisha tuhuma zake
 
Kamati ya Bunge ya nidhamu haijui iko kitu inayoitwa ushahidi wa kimazingira hata kama hauwezi kumtia mtu hatiani lakini iko hivyo hasa kwenye mambo ya rushwa.
 
Wamempa siku ngapi aandae defense yake.mbona maswali yake ni marahisi...waingie tu openvaers.com waangalie madhara ya chanjo
 
Mbunge wa Kigoma Mjini, Kirumbe Genda amesema wabunge wengi wanajua Josephat Gwajima amekosea ila wanashindwa kusema

Kirumbe amesema wabunge wanaogopa kuwa wataenda kusemwa kwenye madhabahu Jumapili, lakini yeye amejitoa dhabihu

Amesema wazi kuwa Gwajima ni mgeni hayajui masuala ya bunge lakini amejiweka mstari wa mbele na hakuweza kuthibitisha tuhuma zake

Huyo mbunge ni sehemu ya kamati ya maadili?

Kama sio mjumbe ina maana hajaona maamuzi ya kamati?

Na kama ni mjumbe, kwa nini anaongelea tuhuma za Gwajima nje ya kamati?

Otherwise, huyo mbunge anatafuta kujulikana tu
 
Mbunge wa Kigoma Mjini, Kirumbe Genda amesema wabunge wengi wanajua Josephat Gwajima amekosea ila wanashindwa kusema

Kirumbe amesema wabunge wanaogopa kuwa wataenda kusemwa kwenye madhabahu Jumapili, lakini yeye amejitoa dhabihu

Amesema wazi kuwa Gwajima ni mgeni hayajui masuala ya bunge lakini amejiweka mstari wa mbele na hakuweza kuthibitisha tuhuma zake
Adhabu aliyopewa na bunge Ni ndogo Sana, inatakiwa chama kimfukuze chamani, na vyombo vya ulinzi vimfungulie mashtaka ya uhaini huyo mchungaji tapeli
 
Afadhali huyu kawa mkweli na muwazi

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Adhabu aliyopewa na bunge Ni ndogo Sana, inatakiwa chama kimfukuze chamani, na vyombo vya ulinzi vimfungulie mashtaka ya uhaini huyo mchungaji tapeli
Unataka mama CCM imufie mikononi kwa kutengeneza upinzani ambao haupo siyo?

Kamuulize JK enzi za Slaa,Mkapa vs Mrema, Lowassa vs JPM.
Unafikiri mama nchi hi ameiweza?
Mpotosheni 2025 majibu atayapata.
 
Wewe Ngenda unajua kama sasa Kigoma umeme umekuwa shida sana? Hujui kama maji yanasumbua Kigoma Mjini? Hujui kama Kigoma WAHA tunanyanyaswa sana UHAMIAJI? Yaaani hapo sasa ndo na wewe umechangia na utajiona umetoa hoja ya maana.

Achana na Gwajima na Imani yake, pambana na kero za wananchi. Yeye amegoma kuchanjwa na hataki waumini wake wachanje, tatizo ni kipi?

Hebu jikite kututetea wananchi wa Jimbo lako na si kugombana na Mchungaji anayelisha kondoo zake.

Hayo ni maoni yangu tu!
 
Kwa tafasiri hii Spika karusha mpira kwa Sirro...hawa wawili hawakustahili kuwa mitaani leo...ni waharifu kama.waharifu wengine - huku IGP akisubiri barua ya malalamiko toka kwa Waziri wa afya na ofisi ya spika ili achukue hatua.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom