Kiroba

luebe

Member
May 31, 2013
20
0
Eti jamaa akipiga kiroba ana himili sana tendo la ndoa kuliko akiwa kawaida ni kweli......
..
 
Nijuavyo...kiroba hujenga 'fake confidence' sawa na ulevi mwingine, na kufanya mtumiaji adhani amekuwa mahiri zaidi kwa alifanyalo kumbe pengine sio. Subiri madoc waje
 
Back
Top Bottom