englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Mpwa comment yako nimeipenda sana ila hio picha ndo zaidiwatawaweza m23 hawa?
Kwanza hakuwa anakunywa yeye, alipewa kushikia tu mwenyewe aliyekuwa anakunywa alikuwa amekwenda maliwato LOL LOLJamaniiii...utamfukuzisha kazi MP wa watu.
Hapo anapunguza stress za maisha na hali ya uchumi bro!!:nono: