Kirengesa

abunerimgaya

Member
Nov 13, 2012
78
15
Kuna jamaa alikua hajui
kiingereza alikua anahitaji kuku
Jinsi ya kuzungumza kuwa nataka
kuku ni ngumu
Pembeni kulikua na mteja
mwingine anakula mayai
Akamuita mhudumu akasema see
that
I need your mother
 
SI HATARI SASA KAMA NDO MWENDO HUO CO CJUI INAKUAJE!!!!!!!!!!
:target::cheer2::majani7:
 
Back
Top Bottom