Kwani unafikiri mi napinga mkuu...πHela tunatafuta lakini hii mentality ya kutafuta hela uweze kumantain mahusiano yako lazima tujue inaambatana na consequences zake. Pale utakapozipata izo hela utakua ...
Hakuna namna kikubwa na kwenda kimkakati tu. Relationship is a trapKwani unafikiri mi napinga mkuu...[emoji28]
We tuishi tu lidunia litakavyokuja nami naenda nalo hivyohivyo
Na anaetafuta kwa vyote...?Kama mwanaume anatafuta hela kwa ajili ya kufurahisha kikundi cha wanawake anapaswa atambue wazi kwamba yeye ni loser.
Lakini kama anatafuta kwa ajili ya mke au mama yake ili wafurahie uwepo wake katikati yao nadhani huyu ndiye timamu,kwanini utafute hela kwa mateso kisha uzitumie kwa kiumbe usichokuwa na future nacho?
Pamoja sana
Aliyeelewa mtoa uzi alikuwa na ujumbe gani anisaidie kufafanuaBaada ya kusoma nyuzi kadhaa humu hususani ktk hii wiki kwenye jukwaa letu hili, nyuzi nyingi zimekuwa zikifunguliwa na wanaume zikizungumzia juu ya wanawake na pesa!.
Kila nikifungua hili jukwaa ni wanawake na pesa!.
Nikaona isiwe tabu Wacha niwe Albert Einstein kwenye hili!,niketi chini niwaze niwazue nije na mbadala ama majibu ya nini kifanyike au any formula ya kurekebisha hili!.. nikaanza kuwaza kwanza kwa kuangalia historia ya mwanamke toka kwenye biblia nikamaliza nikaanza ifatilia pesa historia yake.
Mawazo mengine yakawa yakuhuzunisha na mengine yakufurahisha mpaka nikaanza kuhisi njaa!. Nikala nikashiba nikaendelea kichwa kikaanza niuma nikanywa Panadol hapo nikachukua na note book nianze kuandika!. Kufanya hivyo ndo nikawa kama nimechokoza nyuki kichwa kikaanza niuma kwa mapigo kama napigwa na nyundo!.
Lakini sikuchoka, nikaendelea baadae ya masaa kama ma nne hivi from no where nikapoteza fahamu!,nakuja kushituka najikuta nimemwagiwa maji nimelowa tepetepe!,wananiambia nimezimia kwa masaa matatu!.
Shukurani zangu kwa waliofanya jitihada za kunizindua maana bila wao sijui ingekuwaje!.
Kiranga chote kimeniisha na nimejua ukitaka kumtenganisha mwanamke na hela lolote linaweza kukuta!,hivyo basi hicho ni kitu kisichotenganishwa!.
Kwahiyo ndugu zanguni tutafute hela tu hakuna namna ya kulikimbia hili.
Niwatakie siku njema isiyo na manung'uniko.
Tafuta hela.Aliyeelewa mtoa uzi alikuwa na ujumbe gani anisaidie kufafanua
Thibitisha kuwa upo kwenye heading...Nilivyoona "Kiranga" tu katika heading, nikasema nimefanya nini tena wameshanianzishia uzi mwingine?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi hata nikiwa sipo kwenye heading, nikiwa kwenye head yako tu naishi rent free inatosha.Thibitisha kuwa upo kwenye heading...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unanichekesha sana...
πππBaada ya kusoma nyuzi kadhaa humu hususani ktk hii wiki kwenye jukwaa letu hili, nyuzi nyingi zimekuwa zikifunguliwa na wanaume zikizungumzia juu ya wanawake na pesa!.
Kila nikifungua hili jukwaa ni wanawake na pesa!.
Nikaona isiwe tabu Wacha niwe Albert Einstein kwenye hili!,niketi chini niwaze niwazue nije na mbadala ama majibu ya nini kifanyike au any formula ya kurekebisha hili!.. nikaanza kuwaza kwanza kwa kuangalia historia ya mwanamke toka kwenye biblia nikamaliza nikaanza ifatilia pesa historia yake.
Mawazo mengine yakawa yakuhuzunisha na mengine yakufurahisha mpaka nikaanza kuhisi njaa!. Nikala nikashiba nikaendelea kichwa kikaanza niuma nikanywa Panadol hapo nikachukua na note book nianze kuandika!. Kufanya hivyo ndo nikawa kama nimechokoza nyuki kichwa kikaanza niuma kwa mapigo kama napigwa na nyundo!.
Lakini sikuchoka, nikaendelea baadae ya masaa kama ma nne hivi from no where nikapoteza fahamu!,nakuja kushituka najikuta nimemwagiwa maji nimelowa tepetepe!,wananiambia nimezimia kwa masaa matatu!.
Shukurani zangu kwa waliofanya jitihada za kunizindua maana bila wao sijui ingekuwaje!.
Kiranga chote kimeniisha na nimejua ukitaka kumtenganisha mwanamke na hela lolote linaweza kukuta!,hivyo basi hicho ni kitu kisichotenganishwa!.
Kwahiyo ndugu zanguni tutafute hela tu hakuna namna ya kulikimbia hili.
Niwatakie siku njema isiyo na manung'uniko.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee we kakaMimi hata nikiwa sipo kwenye heading, nikiwa kwenye head yako tu naishi rent free inatosha.
Hao ambao hawajui ndo wale walikua kina maria magdalena.. tuSio wanawake wote wanapenda pesa...
Wengine hata kuomba hawajui...
Ila kuna ombaomba wachache wanawaharibia...