Kippi Warioba jiheshimu


Huko kunaitwa kulialia!
 
kippi embu acha mambo ya kitoto bwana unakera kweli!!
 
kippi jisimamie na naamini kwako ushindi upo kwa viwango vya juu kabisa
 
huyu jamaa ngese sana anabebwa bebwa na magamba wenzie anadhani wakazi wa jimbo la kawe ni wapumbavu kama wao!
mdee ndio mbunge wetu na lowassa rais wetu!
 
Zamani Airtel walianxa kutuma sms za Magufuli nikawatwangi mpaka leo
 
Unatafuta kiki tu

hii imekuja namba 0718537676

Ni mimi "EDWARD LOWASSA" kwa heshima na taadhima naomba kura yako ya URAIS ili nipate kwenda IKULU kupambana tupate kuijenga TANZANIA.TANZANIA ni yetu na watu ni wetu tunataka safari ya uhakika , kumbuka kura yako ndio nauli ya kunipeleka IKULU tuma ujumbe huu kwa makamanda 50 PEOPLE'S POWER!!!!!!!!!!!,
 

tehetehe nimejaribu kutuma hela imesajiliwa kwa jina la edward masawe
 

Acha ushamba wewe kwani namba ni nini? Hata ukitumiwa ujumbe ndio imebadilisha maamuzi yako? Au unataka umaarufu usiokuwa nao?
 
Mi mwenyewe nimepata hizo sms ,Cjui kapate namba zetu. Hi si sawa

Hyo kitu ınafanyika duniani kote.Hawampi detaıls zako bali anawapelekea ujumbe na wao wanausambaza km watumavyo meseji zao.
 
Acheni ushamba Wabongo,huo ni utamaduni wa dunia ya sasa.Na si yeye anayetuma bali wenye mitandao km wakutumiavyo ujumbe mwingne.Namba yake ilitokea?
 
Maccm mwaka huu tena!? Hapana sema hapana kwa masilahi mapana ya Taifa letu. Tumewavumilia sana kwa madudu yao miaka yote, sasa tuseme basiiiiii. Chagua Ukawa chagua Lowassa.
 
Mpuuzi first class wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…