Amiliki
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,085
- 1,005
Hunifahamu, sikufahamu. Ni kweli nimejiandikisha Mikocheni ambayo ipo Jimbo la Kawe. Kitu kinachonishangaza imekuwaje Tume wakupe namba yangu ya simu na kuanza kunitumia meseji kila siku za kampeni zako za kisiasa?
Imekuwaje uitafute na kupata namba yangu ya simu bila ridhaa yangu?
Na nyie watu wa Tume wa Mikocheni nilipojiandikisha kwenye BVR, inakuwaje mmempatia mtu mwingine details zangu bila ruhusa yangu?
Huku mchezo huu ukiwa unaendelea, nawaomba sana TCRA hebu mwiteni KIPPI Warioba na mumuhoji ni kwanini anawatumia watu msg bila ya ridhaa yao? Na kama mtataka ushahidi mimi ni mmoja wa watu tutakaojitokeza na ushahidi wa hizo sms zake anazozituma.
Mpaka mtu wa CCM kuweza kupewa details za mpiga/Wapiga kura, je bado tuendelee kuamini kwamba hoi tume ya uchaguzi ni huru?